Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Mkuu Ben Saanane, amini nakuambia, Chadema itanusuriwa na watu kama nyinyi ambao mko tayari kusikiliza, kupima mantiki ya unachoambiwa na kisha kuchukua hatua!, hawa washabiki wenu na wapambe ambao kazi yao ni ku "denial every allegations leveled against Chadema, won't help you"!
Kiukweli, Ben, nimeipenda sana approach yako unavyokata issues humu jukwaani, very ipressive na vijana wa sample yako, mna very bright future kwenye politics is you maitain being "who you are" and and thats really "you"!. Approach ya wengi wa members wenu au washabiki wenu is not "who they are", but "what they are!".
Thanks Ben!.
Pasco.
Hayo Maneno ya Ben yanakupa evidence gani kwamba CHADEMA imebadirika au inabadirika, what if ameamua kukuignore kiaina? ina maana tuko apa kuongeaongea au kuelimishana kwa facts?
Pasco mpaka asubuhi ya leo bado haujaweza kuja na japo subject matter moja ambayo CHADEMA wanapaswa kubadirika. Japo leo nimeona umenarrow bla bla zako sehemu fulani kwa kusema wabadirike "kuhusu mambo flani ya ndani". Labda tuanzie hapa kwa leo, MAMBO YA NDANI, YEPI?