Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Achana na mambo ya kusoma wewe.....Mungu aliposababisha u disco maana yake alikuepusha na manyanyaso yatokanayo na kusoma. Mfano, mishahara midogo, tishio la redunduncy, hatari ya kufukuzwa kazi bila kisa na mkasa na madeni ya benki yatokanayo na mikopo ya mshahara midogo nk. Kuwa mjasitiamali utaajiri watu wenye PhD!!!