Kudisco chuo na kupata usaili upya

huyo hana tofaut na kusoma miaka saba alafu huendi form one what matters ni kumaliza masomo sio kuishia njiani..huyo ni failure tu

hahaa umeshinda mkuu maisha kudisco kwingi ombea isikutokee.
 
Mwambie huyo kilaza.. Darasa letu la civil engineering hapa CoET. Tulikua wanafunzi 200 mwaka 2012..na mtu wa mwisho alikua na division 2 ya points 10..mpaka navoandika hapa tunaoingia mwaka wa 4.tupo 169 tu.. Hao wengine wote wamedisco..
Kudisco sio lazima uwe kilaza.. Inategemea unasoma course gani, unasoma chuo gani na unafundishwa na nani...

umenena vyema.
 
ofcourse kijan,mm nilikua na wadau wangu wawili walikua wanasoma electrical engineering,walikua vizur kinyama ila siku ya mwisho mwaka wa pili waliliwa vichwa wote mwaka 2010,mmoja akaenda DIT hio hio electrical na mwengine akaenda ARDHI kusoma information systems management,mwisho wa siku wamemaliza na GPA nzur na wote wameajiriwa tayari na mmoja alikua anasoma electro mechanical engineering nae walimla kichwa 2nd year now mshikaji yupo mwaka wa 4 ardhi anasoma geomatics na ana first class kuanzia mwaka wa kwanza hadi saiv anaingia mwaka wa4,so kudisco ni mazingira tu but sio kama ni ukilaza..
 
Du ila kudisco aisee noma sana, usiombe sikia tu kwa jirani.

Fight ahamie mkuu inawezekana akaendelea inategemea na creteria zao za course ngapi ukifeli wanakula kichwa au the lowest GPA.

Kuna mtu alilambwa kichwa huko ughaibuni ikabidi arudi bongo kwa kuendelea mwaka ule ule ila kuna course akaja akasoma na walokuwa nyuma yake mwaka ulofuata.
 
Kwa kweli kuna college zingine ni mateso mno.. Mfano coet pale huwa mtu hunenepi kabisa.. Kupungua kuko nje hasa kwa mwaka wa pili kuna department ya mechanical huwa ni kinara kwa kupunguza
 
Du ila kudisco aisee noma sana, usiombe sikia tu kwa jirani.

Fight ahamie mkuu inawezekana akaendelea inategemea na creteria zao za course ngapi ukifeli wanakula kichwa au the lowest GPA.

Kuna mtu alilambwa kichwa huko ughaibuni ikabidi arudi bongo kwa kuendelea mwaka ule ule ila kuna course akaja akasoma na walokuwa nyuma yake mwaka ulofuata.

chuo gani mkuu.
 
Mtu akidisco anatakiwa aanze mwaka wa kwanza hakuna kuhamisha credits
 
Mii najua Jamaa alidisco iaa, akaenda Mt. Meru Univ, akamaliza fresh
 
thanks hiyo naijua nilitaka kujua namna mtu anahama kama kadico udom 4th yr amalize st joseph college of engineering

Na yeye ali disco vipi??? Ila uwezekano upo, kuna wengi walio disco SUA wakaenda malizia uganda...so it is possible!!!! Chakufanya aende st joseph dar akaongee nao, tena awahi mapema ..
 
Wanajamii forum naomba msaada kujua kuna taratibu zipi zinafuatwa kwa mtu aliye disco na anataka kuomba tena chuo?
 
Unatakiwa oumbe chuo kingine, hata mwaka huu. Kwa chuo kile kile ni mpaka baada ya miaaka 3. Kwa kupata tena mkopo ni lazima ulipe 50% ya mkopo uliopata mpaka ulipdisco
 
Poa mkuu... na kwenye kuomba chuo hapo unaandika barua TCU au ni moja kwa moja kama mtu alivyoomba mara ya kwanza
 
Unatakiwa oumbe chuo kingine, hata mwaka huu. Kwa chuo kile kile ni mpaka baada ya miaaka 3. Kwa kupata tena mkopo ni lazima ulipe 50% ya mkopo uliopata mpaka ulipdisco
mkuu nikurekebishe unaweza kuomba chuo hicho hiho but sio course uliodisco,unaweza kuomba school nyengine but ile ambayo umedisco
 
Back
Top Bottom