Wakat ule pesa tulikuwa tunapewa na wizara ya Sayansi Technolojia na Elimu ya Juu(enzi za Ng'wandu). Ulikuwa uki-disco unakaa kwa miaka3-5 hivi kutegemea na chuo. Baadae unaomba hata chuo kilekile, ila udhamini wa serikali hamna. Ilikuwa ni udhamini wa serilali na siyo loanboard. Wakati ule ili upate huo udhamini ujue ulifaulu sana form6 au diploma/FTC.
Unasoma degree hata Havard au MIT au Yale popote unapotaka mradi mpunga uwepo na kama UDSM basi ukitaka usome ile degree ulidisco inabd ukae miaka mi4 hadi mi5 kama hautaki basi next yr unapply kozi nyingne.
Habari Zenu wakuu.. Hivi mtu aliye Disco anaweza kuchukua tena Degree kwa Mara nyingine? Je anaweza pata mkopo kutoka HESLB? Naomba mnijuze wakuu
Nahisi ndiye wewe unayesoma eagle wing,,
Kwa taarifa yako tu mimi nipo hapa mlimani na nazijua taratibu zote, sema nikuelekeze. Tunaongea facts siyo vitu vya kusikiasikia..
Next time jifunze kuongea na wasomi siyo kuropokaropoka
Nahisi ndiye wewe unayesoma eagle wing,,
Kwa taarifa yako tu mimi nipo hapa mlimani na nazijua taratibu zote, sema nikuelekeze. Tunaongea facts siyo vitu vya kusikiasikia..
Next time jifunze kuongea na wasomi siyo kuropokaropoka
mkuu ukidisco unaomba umpya chuo chochote muda wowote kijana acha ubishi "kunajamaa kadisco udom mwaka juzi now tunapiga naye engineering hapa sua ubishi wako nini?
mxxxiiiuuu...ebu kapitie prospectus ya mlimani boya wewe....alafu ndo urudi hapa...nasikitika sana siku hizi hapa mlimani kuna madogo wavivu na much know sana...unabisha na vitu vipo wazi na hata ndani ya prospectus au tatizo ni lugha hukuelewa
Nimependa sana hii kauli, kuna watu hawatambui hili wanang'ang'ana na shule maisha yao yotePili kusoma sio njia pekee ya kufaulu life, fanye issue zingine.over
Nimependa sana hii kauli, kuna watu hawatambui hili wanang'ang'ana na shule maisha yao yote
Ukifeli tafuta kingine chakufanya usilazimishe fani