iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,133
Pesa ni shetani mkuu hata Mimi imewahi kunitokea nikadhulumiwa na MTU niliyekuwa namkubali sana kumuheshimu sana.
Akachukulia udogo wangu kama fimbo ya kunichapia alafu akanijibu hakuna mkamilifu. Kufupisha story pesa zangu alilipa na tukikutana yeye ndio hunipa heshima. Mshenzi sana yule nilimnyoosha akanyooka
Naomba utupe mbinu kaka, ulimfanya nini, maana nami nina mjomba wangu amenizurumu laki 6 , na siwezi kata tamaa siwez ipotezea hii laki 6 razima niipate kwa mbinu yoyote,[emoji35]