Kudhulumiwa na mtu unayemuheshimu

Kudhulumiwa na mtu unayemuheshimu

Inapokuja ishu ya pesa hakuna anayestahili kuaminiwa. roho yangu inaniuma sana tena sana kwa mtu ambaye niliweka trust kwake kunipiga pesa ambayo kimsingi nilistahili kuipata kwa kuzingatia energy na time niliyowekeza katika kuhakikisha kila kitu kipo undercontrol...
Mshukuru Mungu kwa kila jambo utapata nyingine zaidi ya hiyo
 
Hakuwa ananichora alikuwa na shida kweli,Mkuu katika maisha yako ogopa sana dhuma ni mbaya yaani uta andamwa na mikosi kila siku.
Aliyenidhulumu gari yangu maisha yanamchapa kwelikweli. Kuna wengine wa 2 niliwakopesha , wameniblock namba zangu zote. Watanzania wengi si waaminifu.
 
Makhelaw magalou 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom