Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,233
- 2,801
Huu ni ushamba, kama uliridhia malipo ya awali unalalamika bureIshu nilimuachia afanye negotiation na watoa huduma fulani afu mimi ni focus na kazi sasa amount aliyokuja kuniambia mimi nikakubali sasa katika kuuliza na kutaka kujua ile huduma ina cost kiasi gani nimegundua jamaa kaninyoosha pakubwa sana.