Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,398
Huwa natamani Mungu angeniumba na roho ya kisasi na hasira za kudumu.Mimi hapo unabaki undugu jina tu
Huwa natamani Mungu angeniumba na roho ya kisasi na hasira za kudumu.Mimi hapo unabaki undugu jina tu
Halafu unakuta hela yenyewe ni ndogo tu Ila mtu anavunja urafiki kisa hataki kukulipa.Marafiki wa kibongo sio. Niliwakopesha, kudai changu sikulipwa. Nikabadili formation ya kudai kwa kuwakopa ile kuwaektia nimekwa napo sikukopeshwa. Marafiki wa kibongo ni wakubishana nao mpira tu.
Aiseee nje ya yale mlokubaliana......huenda alidhani.yatakuwa na faida baadae akakutana na hasaraNilipo mtumia pesa akafanya mambo mwengine ya kwake.
Hata mimi huwezi kunifanyia ujinga wa makusudi harafu ujifanye wewe ni Dada yangu. Kama ni bahati mbaya sote tutaiona kweli ni bahatiMimi hapo unabaki undugu jina tu
Roho mbaya tu alichukua pesa akaenda kununua kiwanja 😬😬Aiseee nje ya yale mlokubaliana......huenda alidhani.yatakuwa na faida baadae akakutana na hasara
Pole sana ila ulisamehe?Pole sana mkuu maumivu unayopitia niliwahi pitia,Dada yangu wa damu alinidhulumu million 3 week nzima sikupata usingizi.
Wewe upo kama mimi mkuu,, jibu langu hua ni moja tu "SINA" na ukiona nimekukopesha ujue nakupa ile ambayo najua hata ukisepa nayo haiumi...Ukiona nimekukopesha pesa ujue hiyo pesa niko tayari kuipoteza na incase ukitokomea nayo tunakuwa maadui kuanzia siku hiyo, unaweza usione baya lolote nitakalo kufanyia ila jua kamwe sintokuja kukusaidia katika jambo lolote linalohusu fedha hata uwe na shida namna gani
Kwa kweli sijasamehe na sitasamehe ile pesa niliipata kwa jasho la damu.Pole sana ila ulisamehe?
NakaziaHalafu unakuta hela yenyewe ni ndogo tu Ila mtu anavunja urafiki kisa hataki kukulipa.
Ndio maana wanasema ukitaka urafiki udumu msiingize mambo ya hela Ila sasa sio rahisi kuona rafiki yako anakwama na ushindwe kumsaidia.
Pole sana ukimkumbushia kauli yake ni ipi au ndio kashakata shauri kuwa hatokulipa kamweKwa kweli sijasamehe na sitasamehe ile pesa niliipata kwa jasho la damu.
Kauli yake ni hana pesa kama nataka nimfunge 😬Pole sana ukimkumbushia kauli yake ni ipi au ndio kashakata shauri kuwa hatokulipa kamwe
Kuna ndugu wanatafutaga ubaya kwa lazima,ndio kama huyoKauli yake ni hana pesa kama nataka nimfunge 😬
Na kuna mwingine kapigwa Milioni 9 alinunua gari online kumbe ni mataperi.Leo mbona watu mmeamka na simanzi ya kutapeliwa pesa, kuna wa milion 4 na wewe hapa. Pole mkuu
Mimi kinacho niuma ni kuchukua pesa yangu ya biashara kisha kwenda kununulia kiwanja 😬😬 😕😕Kuna ndugu wanatafutaga ubaya kwa lazima,ndio kama huyo
18+ tumeelewa hapo JASHO NA DAMU..Kwa kweli sijasamehe na sitasamehe ile pesa niliipata kwa jasho la damu.
Wewe unachowaza kama unaona ni Sawa ok18+ tumeelewa hapo JASHO NA DAMU..