Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Hao wanaume wakawa wanawake wanaweza kuzaa watoto au,sababu nini hasa kujifanya hivyo?Ila duniani bana..nlionaga kipindi mdada kawa mkaka na mkaka kawa mdada..wameoana na wanajijua kama ni matransfer gender..shubaaat!!
Me hata sielewiHao wanaume wakawa wanawake wanaweza kuzaa watoto au,sababu nini hasa kujifanya hivyo?
Hapana, ila Nyani Ngabu kaishi sana mitaa yao
Mmh, haya Mkuu, naona unabania uzoefu wako wa mitaa ya Michiana na Wichita
Hata kwa bundukiHivyo, hauko tayari kuwa na 'trans' hata kama kabadilika kikamilifu?
Kuna NN mmoja tu, haya turudi kwenye mada - Transwomen uliokutana nao wanakidhidi vigezo vya kuitwa wanawake?
Yaani hapo kwenye "ufahamu" umehitimisha mada, no further question.
[emoji23][emoji23]Hivi bongo hawapo kweli...? Wazee wa experience tukaongeze nyama kwenye cv
Hapana kwa kweli siweziKama wanaweza kuzaa utakuwa tayari kuwa na mmoja wao?
Familia ya Laana ile..[emoji35] [emoji35]Kim kardashian sijui hua anajisikiaje kumuona babake kawa mwanamke,sijui atamwita mama[emoji2] [emoji2]
Mdau ebu tujuze dhumuni lako ww kuhusu transgender jinsi unavyowafahamu ila kwa bongo sijui kama wapo?Ndugu Nyani Ngabu na Wabeba Maboksi wenzangu,
Salaam! Transgender huku sasa wako kila kona. Hata kuwatambua sasa ni vigumu.
Ukimdeti Transgender bila kujua, je, siku ukijua utaachana naye au la? Kwa nini?
Mf. Transgender 'Janet Mock' joins the Latest List of Times '12 New Faces of Black Leadership' - Golden Icons
Shukrani,
Companero
Anakuaje sawa wakati amejibadilisha,alikua mwanaume by nature,aje ajbadilishe akue mwanamke(artificial) hawezi kua sawa banaKwa nini huwezi ilhali kila kitu kiko sawa?
Leo naona umebobea kwny mambo hayaAnakuaje sawa wakati amejibadilisha,alikua mwanaume by nature,aje ajbadilishe akue mwanamke(artificial) hawezi kua sawa bana
Yanajileta yenyeweLeo naona umebobea kwny mambo haya
UmebobeaYanajileta yenyewe