Kudanganya......

mtu anapokuwa anakudanganya bana inamaanisha kuna vitu anakuficha sometymz inabid ushukuru tu kwa kufichwa....mana bora usivijue kuliko ukivijua
 
Hahahaha, aisee!!
 
Reactions: Mbu
mtu anapokuwa anakudanganya bana inamaanisha kuna vitu anakuficha sometymz inabid ushukuru tu kwa kufichwa....mana bora usivijue kuliko ukivijua

Inabidi watu tuwe wakwel na especially tunapojua tuko nyuma ya PC screens...Hivi kuna mtu anaweza kumweleza BF au GF kila kitu kuhusu maisha yeke?

Kama yupo, basi tuwasiliane nimpe zawadi!!

Babu DC!!
 
Reactions: Mbu
Hahahaha, aisee!!

Vipi tena Maty?

Huo ndio naita uongo wa kitoto tena ambao hauna sababu ya yoyote ya maana!

Ni sawa na wale vijana wa mujini wanaoazima gari kali kwenda kuchukulia ujiko kwa binti bila kujua kwamba huwezi kuazima hiyo gari siku zote!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Inabidi watu tuwe wakwel na especially tunapojua tuko nyuma ya PC screens...Hivi kuna mtu anaweza kumweleza BF au GF kila kitu kuhusu maisha yeke?

Kama yupo, basi tuwasiliane nimpe zawadi!!

Babu DC!!
Hilo tu Dc mi mmoja wapo...
 
Hilo tu Dc mi mmoja wapo...

Tuwasiliane ili nijiridhishe halafu nikutumie zawadi yako...

I will be curious to know, kama toka day zero unamweleza BF wako list yako yote (past) na mambo yote ya familia yenu hata kama mmoja wa ndugu zako ni kibaka/changu!!

hahhahha HAKUNAGA bwana:twitch:
 
Som tymz unalipa kisas coz ww ucpodanganya jua kwmba unadanganywa xo bora iwe bila bila
 
Reactions: Mbu
mtu anapokuwa anakudanganya bana inamaanisha kuna vitu anakuficha sometymz inabid ushukuru tu kwa kufichwa....mana bora usivijue kuliko ukivijua

.....dahhh, Vaislay hapo umehitimisha kwa kituo ule wimbo " nidanganye danganye tu, ukinambia ukweli nitaumia......hata nikukute na mtu chumbani"....

:thumbup:
 
mhh, lakini kuna wengine wamezidi.... tena na mimacho wanatumbua kama mamba kafuma kiswala mtoni
 
Reactions: Mbu
......mnh?

Soulmate wangu, ....ilikuwaje nawe ulijikubalisha Yeye awe ndio Kamusi,.... Dictionary, .....Thesaurus wa Akili yako?

Dont blame him bana, ulimpa " ufalme wa nyumba!"

Hapa hata sibishi Soulmate, nakiri kosa kwa sauti kubwa but.......ever heard of giving your partner the benefit of doubt?! ......ni katika kupima uaminifu, ukweli wake.
 
Reactions: Mbu
...... MwanajamiiOne,....nimeupenda huo msitari "...unampima uaminifu wake!"

Je, uwongo upi unaupa kipimo huyu ni muaminifu na yupi si muaminifu?

Mfano, anayedanganya kwa makosa madogo madogo, au yule mwongo wa makosa "makubwa" pekee?
 
Last edited by a moderator:
...... MwanajamiiOne,....nimeupenda huo msitari "...unampima uaminifu wake!"

Je, uwongo upi unaupa kipimo huyu ni muaminifu na yupi si muaminifu?

Mfano, anayedanganya kwa makosa madogo madogo, au yule mwongo wa makosa "makubwa" pekee?

Hivi Mbu et al, ule uongo wa 'wewe ni mzuri kushinda wote dunia hii' unaangukia kwenye uongo wa msingi???
.....yaani shemeji ananambia mimi ni six pack pamoja hili tumbo ka la kepteni komba...wacha nikalianzishe!
 
Last edited by a moderator:
....mnh, wenzetu humu hawataki! wanadai si maishani tu hata kwenye mapenzi, bila uwongo wa kudanganya maisha "eti" yatakuwa magumu sana.
Maisha ni magumu tu sana, nani alisema life is simple?
Ukijenga personality ya nguvu na partner wako akaijua
inasaidia sana kuhepuka kudanganyana. nitoe mfano:
Kama toka mwanzo ulipiganisha na kumuonesha you cheat
basi later when you cheat haitakua lazima kuganganya tena.
So to me, ni bora kujenga mazingira ya kuji-express freely,
kuliko kua mnafiki na ku-pretend uko mwema wakati sio
Unapo danganya ndio unazidi kutafanya maisha kua magumu
Sio kwako tu, bali kwa wale wanao kuzunguuka zaidi (IMO)
 
kudanganya.... kaugonjwa ambako kwa wanawake ni sawa tu... anakudanganya ili usiumie; ila kwa mwanaume ni mbaya sana, ati anadanganya ili akuumize

HAKA KADUNIA KADOGO LAKINI KANA MAMBO
 
I deleted this post, sasa sijui kwanini imerudi

duh, mbona naanza kuogopa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…