Chabo huko dirishani wanacheki mechi ya wenzao, eti wanavuta stimu ikipanda wacheze yao-Afande sele.Si kweli kuwa ni uoga wa kutongoza, ni tabia ya mtu mwenyewe na huenda pia ni tatizo la kisaikolojia. Na wengine hawawezi kabisa kufanya mapenzi na wapenzi wao hadi wapige chabo kwanza.
Chabo huko dirishani wanacheki mechi ya wenzao, eti wanavuta stimu ikipanda wacheze yao-Afande sele.
WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.
Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.
Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.

<br /><font size="3"><span style="font-family: book antiqua"><font color="#b22222"><br />
...wagonjwa wa akili, ni sawa na wale <b><u>wanaogandishia</u></b> kwenye 'daladala!'</font></span></font>
Huyo ni Afande Sele katika Mayowe, au unataka verse nzima?Hapana Mkuu ni Sollo Thang ameimba maneno hayo. Kwa bahati mbaya sikumbuki vema ni ktk wimbo gani.
...wagonjwa wa akili, ni sawa na wale wanaogandishia kwenye 'daladala!'Heeee kumbe na wewe ushawahi kupiga 'CHABO' huko kwenye daladala? u made ma day Mbu! Kweli wewe Mbu haswa yaani hahahahaa!