Tafuta fundi abomoe hicho kidude cha kuingizia funguo , then Gerezani opp na ile shule ya sekondari ambayo zamani ilikuwa inaitwa Kisarawe primary school kuna jamaa anachonga funguo kwa computer dakika tano tu
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Asante mkuu, nitafanya hivyo. Unaweza kuwa unafahamu kama jumapili anafanya kazi?
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia?
Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa anayemfahamu mtaalam.