Uchafuzi mkubwa wa mazingira for a proof notice maeneo haya mawili kama mfano, ukitoka morogoro kama waenda nyanda za juu kusini baada ya kutoka njia panda ya Mzumbe, kuna sehemu pale mpaka nyasi zimekauka iwe majira ya mvua au kiangazi. Pananuka si mchezo. Pia eneo moja kabla ya kuingia makambako, ukitoka mbeya, mnapoiacha makambazo kwa ku-drive after not more than ten minutes, hata kama mabasi kumi yamefuatana, lazima yote yatasimama eneo lile ili watu wachime dawa (wachafue mazingira) - funny thing is, they are also business centers, utakuta jamaa wanauza mahindi ya kuchoma, ndizi, sambusa etc

Pale eneo la makambako kuna choo cha kulipia lakini bado utakuta dereva anasimama eneo lisilo na choo na kuruhusu watu kuchimba dawa.
Wanahitaji kupigwa fine woooooote wanochimba dawa porini. Na dereva apigwe fine kwa kila abiria aliyeshuka kuchimba dawa.
Hivi kwa nini havijengwi vituo maalumu vyenye hadhi kwa ajili ya "kuchimba dawa" tunapokuwa safarini? Hawa wenye magari wameanzisha vituo rasmi kwa ajili ya kazi hiyo lakini vina upungufu kwa sababu ni porini na watu hawajisitiri vizuri, taabu inakuwa zaidi kwa akina dada na akina mama. Njia nyingine ndio kabisa mapori yenyewe wanaposimama kuna tishio la wanyama wakali kama simba na wengine. Bora njia nyingine angalau kuna ustaarabu wanasimama mahali kuliko na hoteli............
Hili kwa kweli wahusika inabidi walitazame........:angry::angry:
Inabidi tushauri iundwe timu ya wataalamu waje wajifunze huko ili sehemu zote za nchi hii ziwe na vyoo vyenye hadhi kama huko.njia ya kuja Yaeda kidogo tuna bahati, kuna vyoo sehemu mbalimbali tena maji na toilet paper vinapatikana....kwa wale waliowahi kutembelea huku wanaweza kuthibitisha hilo, kati ya makuyuni na mto wa mbu kuna vyoo, mto wa mbu na kibaoni manyara kuna vyoo.........na kuendelea.......raaaaaaaahaaaa mustarehe....tena ukitoka ****** unasogea pembeni kidogo unapiga picha mandhari ya eneo na kupata upepo mwanana.....swaaaaafi
Inabidi tushauri iundwe timu ya wataalamu waje wajifunze huko ili sehemu zote za nchi hii ziwe na vyoo vyenye hadhi kama huko.