Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Status
Not open for further replies.
Kubwa la maadui...sema ty ukweli umechezea vitasa maana umejuaje kama huyo mke amejazia wakati mmeishia kuchart kwenye simu?
 
Una hamu nikuchambeeee! Nikikuchamba utazimiaaa! Kazi zenyewe hazieleweki! Kazi tembo mshahara sisimizi.

Karibu kwenye biashara itakayokupa pesa za kutosha na kukufanya uondokane na adha za kuwachuna waume za watu. FYI wanawake walioolewa siku hizi wanatumia njia mbadala kuwadhibiti waume zao na ni hatari kwa wewe mwanamke Wa pembeni. However, naamini haya uandikayo humu huyafanyi ila unachangamsha jukwaa tu.
 
Hahahahahaha @lara1 una vituko sana hapo kwenye "maini ya mbeya" umeniacha hoi
 
Kwa style hii ya maisha ....Bado mwanamke ana safari ndefu sana ya kujikomboa kiuchumi.
 
inakuaje watu wazima mnaleta uhunu uhuni na kauli ziczo na staa matuc ya nn ustaarabu kitu kidogo sana lakini kinaumuhim mkubwa sana kwenye maisha tunayoishi
we unaambiwa ukweli haupo sawa na kila mtu hum acha kuandika ujinga unaleta kauli zako mbovu
tena ucludie huu ujinga wako

Na wewe jifunze aina ya matumizi ya herufi, hapa sio facebook mnapobadili C kuwa S, ebu rudia kusoma uone ni jinsi gani usivyofaa kuwa mwalimu wa mwenzio. AU ni NYANI HALIONI KUNDULE.?
JIREKEBISHE KIJANA KABLA SIJATOA TAARIFA KWA Invisible akakutia discipline.


BACK TO TOPIC

Hii nadhani ni story tu yakutufanya tumalize week kwa amani zaidi, lakini kama kuna ukweli ndani yake HONGERA ZAKO FREELANCER. GET RICH OR DIE TRYING. Follow the Solomon Seals.
 
Kwa style hii ya maisha ....Bado mwanamke ana safari ndefu sana ya kujikomboa kiuchumi.

We ndo una SAFARI NDEFU wenzio tushafika tunakoenda! Aya CHUKUA JEMBE UKALIME MAANA UNACHELEWA SAFRI YA SHAMBA KWA KUCOMMENT HAPA!
 
We ndo una SAFARI NDEFU wenzio tushafika tunakoenda! Aya CHUKUA JEMBE UKALIME MAANA UNACHELEWA SAFRI YA SHAMBA KWA KUCOMMENT HAPA!

wakufika utakuwa wewe kibaka wa waume za watu poleeeeeeeee
 
We ndo una SAFARI NDEFU wenzio tushafika tunakoenda! Aya CHUKUA JEMBE UKALIME MAANA UNACHELEWA SAFRI YA SHAMBA KWA KUCOMMENT HAPA!

Pole yako, shule haikusaidii... kutwa kuwaza kuchuna mabuzi badala ya kufikiria utajikwamua vipi kiuchumi... kulima kwani dhambi? Kama ndio kitu kitakachonitoa kimaisha then nitalima tu.
 
Mdogo wangu, umaskini kitu kibaya sana..Ila umaskini wa kufikiri ni kama laana..
We TAJIRI WA FIKRA una MIGHOROFA MINGAPI???????????? Mxiuuuuuuuuuuuuuuuu! Tupishe kule! Mtoto wa kiume kujishaua HUPENDEZI!!!! ACHA KUPIGA MAYOWE ACHA TUYAONE WENYEWE
 
Pole yako, shule haikusaidii... kutwa kuwaza kuchuna mabuzi badala ya kufikiria utajikwamua vipi kiuchumi... kulima kwani dhambi? Kama ndio kitu kitakachonitoa kimaisha then nitalima tu.

Hahahaaaaaaaaaaa! Nashukur kwa pole yako! Hrongera shule imekusaidi UNASHINDA OFISINI MASAA KUMI NA MOJA! Kwa tu LAKI kadhaaa! Mie nashinda naangalia TELEMUNDO kwa raha zangu! Wahi kulala usiamk saa 10 ukajikuta unasign chini ya mstari.
 
Lara you are a newspaper, you come out so open, easy to read, easy to understand, you have had so many misfortunes, incidences, encounters you name it.

Every time I read nasema Lara atapumzika, kumbe ni part so and so next to follow.

Kwa nini usiende utawani kutafakari kuhusu mustakabila wako.
 
We TAJIRI WA FIKRA una MIGHOROFA MINGAPI???????????? Mxiuuuuuuuuuuuuuuuu! Tupishe kule! Mtoto wa kiume kujishaua HUPENDEZI!!!! ACHA KUPIGA MAYOWE ACHA TUYAONE WENYEWE

Ha ha..
Yamekuwa ya kina Kopa tena...
Nikifikiri unaweza kubishana kwa hoja kumbe ndo hayo..lol
 
AliekwaMBIa watawa wanataka watu USED nani? Mi sio muoga wa maisha nakomaa na jiji!

USED ????? Nafikiria tu sio kila mtu anayekwenda rule ni muoga wa maisha. Vilevile unaweza kuwa mtawa pale st. Joseph.
 
/
Ha ha..
Yamekuwa ya kina Kopa tena...
Nikifikiri unaweza kubishana kwa hoja kumbe ndo hayo..lol

We siumejitia TAJIRI WA FIKRA? Thibitisha hizo fikra zako YALIYOMO YAMO au DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA?(
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom