Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Status
Not open for further replies.
Atupisheee kule! UCHUMBA WA MIAKA 10 na USHEEE! Kabeba mimba KUFOSI NDOA baada ya kuona ANAZEEKA na Rube kamchunia chuu ANAMCHUNA TU!!!!!!! Ndoa hamna paleeeeeeeee!!!!!!!!!!!

Rube anamtendea VISA yule dada wewe, ungejua ungemhurumia ila BADO YUMO! YAACHE TU!

Nitasutwa na Mashujaa Band mie!

Mahaba niue
 
Lara ebu rudisha laki ya mume wa mwenzio plz, then inform me with important details nikutumie pocket money..... Nadhani kamilion katakusaidia japo kidogo ndugu yangu.
 
chamba utakavyo lakini ujue unajiabisha mwenyewe tushakuchoka na hao waume unaowaiba mwanamke tafuta wako akutunze khaaaaaaaaaaaaa huna hata haya kila siku kujisifia maujinga grow up bidada

Ngoja mtu akojozwe damu mwaka then tutapata story zingine...
 
Rudisha hela za watu......laki moja itakucost hiyo shauri yako,pesa yenyewe mbuzi..
 
Ila waume za watu sio dili kabisa. Sasa laki imetosha kusuka na zanzi ngapi? Afu inabidi mwanaume mwingine achangie nyama na wese. Tembeza bakuli shosti usihofie dhoruba tafadhali
 
Una hamu nikuchambeeee! Nikikuchamba utazimiaaa! Kazi zenyewe hazieleweki! Kazi tembo mshahara sisimizi.

ehehehe, muambie huyo. Mume wa mtu ni extracurricular sema tu ndo sawa na kufuga ng'ombe daslama. Maziwa ghali ila hela yote anakula houseboy
 
Ngoja mtu akojozwe damu mwaka then tutapata story zingine...

na atakojozwa kweli chezea mtu wa tanga weye muache akione cha mtema kuni ndo atajua kachumbari mboga au la

mtu na elimu yake akili ziro
khaaaaaaaaaaaaa inabidi wadogo zake tuwe tunampa darasa huyu manake anaonekana anahitaji ushauri nasaha
 
Mmmmmmh!! Ya leo kali shosti.

Cheating_on_Wife_2.jpg
 
Ila waume za watu sio dili kabisa. Sasa laki imetosha kusuka na zanzi ngapi? Afu inabidi mwanaume mwingine achangie nyama na wese. Tembeza bakuli shosti usihofie dhoruba tafadhali

hahahahahahahahahaha analo bidada si ndo maisha aliyojichagulia
 
Pole dada yangu kwa kuingiliwa kwenye anga zako,just s little caution mimi ninadhani inabidi ushughulike na mmeo kwa kuongea naye huenda keshakengeuka kwa kuonjeshwa papuchi za kila aina so keshaonja asali na kesha chonga mzinga!
Hujaelewa alichomaanisha lala moko
 
Kwa nini mume atoke nje ya ndoa? Ukishamgundua hajatulia jaribu kuongeza siku za ku-do kwa wiki, kama zilikuwa 2 au 3, basi fanya 4 au 5. Hakikisha wewe ndo unakuwa mchokozi, akitia mguu home, hakikisha unakuwa nae karibu muda wote ili asipate muda wa kufikiria wengine.

Hii imetulia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom