Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Hahahaaaaaa mkuu nimecheka sana yaani hadi rege raga pawa?Hahaaaaaa mweeeehKuna aina ya miziki bila kubambia hamna raha, kwa mfano nasema nawe wa diamond. Ila kuna watu wamevurugwa, wanabambia mpaka reggae
Kuna watu sio watu wazuri mkuu, hahahahaaHahahaaaaaa mkuu nimecheka sana yaani hadi rege raga pawa?Hahaaaaaa mweeeeh
Duu shikamoo babu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyo bibi anamkimbia tu babu maana mzee huyo huo uchezaji lazima anataka kubambia
Somoe mambo?[emoji179][emoji179][emoji182][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]Somoe mambo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo picha inaonyesha kabisa bibi anakimbia uwanja,maana walianzia kati mpaka karibu na jukwaa!