Kucheza muziki sio lazima mushikaneshikane

fd27f38aef5c024735d7eda9712730da.jpg
Haiwezi kuwa wanacheza mdumange? maana ngoma zetu za asili kucheza lazima mkaliene mbali lasivyo waeza kanyagwa.
 
Wewe kijana huna adabu aliyekuambia ulete picha zetu huku ni nani? Mimi hapo nipo na bibi yako kwenye sikukuu ya maadhimisho ya mavuno maarufu kama bulabo dj kaweka wimbo wa kandabongoman Billi sasa hapo mimi na bibi yenu hutuambii kitu
 
Hii Kibao mbio/kasi mwanzo mwisho.

Kwa heshima yako ngoja nikiweke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom