Jamaa anasema kisa kamtoa mwanamke chozi basi hachepuki ama?mimi dogo?????
namimi ni askari nisie tembea na pingu
Kitendo cha kujisifu umemtoa mwanamke machozi kimedhihirisha huwajui wanawake wewe ni dogo
Kumbe siko mwenyewe ninaye mshangaa!, anaonekana kabisa mgeni kwenye haya mambo. Eti anamtoa mwanamke machozi!!!!Huyu nahisi bado hajawajua wanawake nahisi ni mgeni kabisa ndo maana anajisifia kwa sifa yakumtoa mwanamke machozi.
Machozi kwa mwanamke mchezoooooo!!!!! Hivi walivyoambiwa waishi na mwanamke kwa akili walifikiri jambo dogo!!!!
Masikini huyu dogo aachane na kitu inayoitwa mwanamke yeye akitaka kuchepuka achepuke zake hamu ikimwishia arudi kwa upole nyumbani siyo kwa majisifu hayo.
Haha haaaaa! Hivi viumbe hivi vilikirimiwa nishani za kutudanganya na tukawaamini.
Na mnavyojua kutaja majina hadi ya mitume na prophets.
Utaskia baba D hakiya sijui nani na nani sijawahi.
Yaani hapa ndo kanipa picha kua tunaongea na mtu wa aina ganiKitendo cha kujisifu umemtoa mwanamke machozi kimedhihirisha huwajui wanawake wewe ni dogo
Nashukuru kilaza mwenzangu.naona vilaza wenzako wanakupa kongole hongera lakini
Pole sana inabidi uanze maombi tu maana hakuna namna.
Hahaaaa Sasa unajikuta umebaini pasina kuacha shaka yoyote kuwa mama klaree kashapigishwa kwata huko nje.Ni kuishi kama haujui. Ukisema ufuatilie utateseka sana.
Ila mimi huwa nasema siku nikimkamata mama klaree anachepuka sijui nitafanya nini.
ANAJIKUTA KITUNGUU HA HA HA ETI KAMTOA MWANAMKE CHOZIHuyu nahisi bado hajawajua wanawake nahisi ni mgeni kabisa ndo maana anajisifia kwa sifa yakumtoa mwanamke machozi.
Machozi kwa mwanamke mchezoooooo!!!!! Hivi walivyoambiwa waishi na mwanamke kwa akili walifikiri jambo dogo!!!!
Masikini huyu dogo aachane na kitu inayoitwa mwanamke yeye akitaka kuchepuka achepuke zake hamu ikimwishia arudi kwa upole nyumbani siyo kwa majisifu hayo.
Kichupa cha nini ili unigande uniharibie kwa mme wangu akaaaaAseeee sasa Niko tayari...ila chonde usiniweke kwenye kichupa nikasahau wanao
Hahaaaa Sasa unajikuta umebaini pasina kuacha shaka yoyote kuwa mama klaree kashapigishwa kwata huko nje.
Utafanyaje utamuacha? Utamsamehe huku roho ibaki inauma? Utaenda kuanza upya na mwingine? Je naye akichepushwa?
Nini hatima ya kipenzi chako klaree? Je zile ndoto za maisha yako na mipango yako/yenu na ma klaree?
Yaani kazi tunayo siyo kidogo. Ukiwakuta sasa wanavyojazana ujinga utachoka na nafsi yako. Wao huwa wanaangalia wake zao(ambao its obvious hawawajali wala kuwaumiza vichwa) hawakumbuki kuwa wana na watoto ambao wanajifunza kutoka kwao.Hili nalo ni jipu asee, yaani kwa kweli kichwa cha nyumba na baba wa familia atulie ndani kucheza na watoto badala ya kwenda bar mbona watasema kapewa limbwata na kuonekana wa ajabu wakati inatakuwa kuwa ni kawaida.
Duh!, halafu sisi wanawake ndio wanasema aliyeturoga kafa, mweh!, mweh!, mweh!..
ANAJIKUTA KITUNGUU HA HA HA ETI KAMTOA MWANAMKE CHOZI
Kitendo cha kujisifu umemtoa mwanamke machozi kimedhihirisha huwajui wanawake wewe ni dogo
Ndio inabidi tuanze kuwafuatilia maana ukute hali si hali tayari alafu tupo tumetulia tu!!!Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???
From my heart naweza.... Aseee mapenzi niliyo nayo kwa wanangu ni makuu mno sana sana. Ingawa kuna changamoto zake aseeee ooh!Na hapo ndipo ugumu wa maamuzi unapokuja.
Watoto.
Jamii hasa wazazi wa pande zote.
Ndoto zako na za mkeo.
Maisha ya nyuma. Nk.
Ngoda wewe unaweza kumezea na ukasamehee yakaisha? Binafsi sipendi kuinafikia nafsi yangu siwezi.
Mkuu wanawake wana akili saana. Wanajua kuficha siri saana.wanawake nawajua sana ndo maana na wa divide Na kuwa rule nitakavyo. akili zenu hazitoshi ata kiganja cha mkono wakushoto.
nikikwambia analia amini usipo amini hutaamini pia ninavyo kwambia akili zenu nifupi.
Wacha we!! Kwni hao mabinti si wanawake? Inabidi tuanze kuwafuatilia, ukute ndio nyie mwaharibu watoto wetu wa kiumeNyie Watu!Nalendwa kwa hujaona "ubuyu" wa Zari? Hebu kale ubuyu kuleee...
Tukichepuka tunaenda kwa mabinti kigoli wabichi wabichi. Teh
Jamaa anasema kisa kamtoa mwanamke chozi basi hachepuki ama?