Kuchepuka raha

Hebu nijibu swali langu hapo juu, unapinga mwanamke kuchepuka ila una mchepuko mwanamke, au huyo mwanachuo ni James delicious?


Tehe!, Tehe!, yaani mtu anapigana kutulaani wakati ana mtoto wa chuo. Halafu watoto wa chuo walivyo, pengine nae ana mchepuko wake mwingine na huyu kaka yetu hapa na kelele zake usikute na yeye kapangwa foleni.
Na kama sio hivyo basi James D. ndo wifi yetu nyumba ndogo, au tumwite shemeji sijui...😀
 
Hongera ya kusema mnapofanya yanayo kubalika ktk jamii eti mnaonekana wa ajabu kwa sababu si kawaida yenu?!!...Tehe!, Asante!



kumbe na wewe fyatuu. nitembee na shoga wakati watoto wabichi wapo.

ukitaka nirudishe penzi kaa utulie usinipekue/usinichunguze na wivu wakitoto uache.

ukifanya hivyoo ata michepuko naacha.
 
Ila na nyie mjifunze midundo mipya
muwe na manyonyo na masarakasi kama hawa wa huko nje. Sio daile kifo cha mende


Tatizo lenu hamuongei, mnaushia kulalamikia kimya kimya na kuyapeleka kwa mchepuko kumbe ungeyaweka wazi kwa wife na kama yanafaa wife angetoa ushirikiano kudumisha ndoa.
Halafu kuna wengine wenu mke akibadilika na kuanza kufanya sarakasi mnabaki kumshangaa eti kajifunza wapi, wanaume hamridhiki kabisa!
 
Yani kujisifu anatembea na mwanachuo ni sawa na kusema ana mchepuko wake corner bar.....
Wanachuo anawajua anawasikia
 
Out of topic hii ni dalili umedata, huenda na glucose imepungua mwilini
 


NIMEKUPENDA BUUUUUUUUUREEE AGIZA SMINORF BLACJ ICE NAKUJA LIPIA
 
kumbe na wewe fyatuu. nitembee na shoga wakati watoto wabichi wapo.

ukitaka nirudishe penzi kaa utulie usinipekue/usinichunguze na wivu wakitoto uache.

ukifanya hivyoo ata michepuko naacha.
We bana nawe hebu acha hizo ujinga mkeo asitmbwe kwani we nani???????!!!!!! Eti asikuchepukie una kadudu ka dhahabu????
 

Ushauri mzuri sn huu
 

mwajuma tabia ni ngozi,beleive me atarudi kulekuleee,nampa pole kurudiana nae,wasukuma wana msemo unasema shokela shokela ikashokelaga na mingi maana yake rudia rudia inarudi na mambo mob,kila la heri kwao
 
Wametuweka mtu kati hapa na Mabeijing wenzie. Aaah wamepeana mbinu nyingi sana za kuchepuka wakirudi home wanakuwa wepesi eti zaidi ya karatasi.
Wanawake kwenye kuchepuka wajanja saana. Hadi ukagundue sio kesho.

Unakuta mtu ana account JF. Fb. Insta. Snap na kote anamichepuko na kugundua tu anaaccount zote hizo huwezi jua.
 



mwanaume halisi hapangwi ata siku moja ata ningekuwa nao 20 ivi mmewapata wapi hao madume suruale mnaowaendesha? itakuwa mliwapata kwenye mitandao

mimi kama beberu natoa maelekezo yatii bila shuruti.

alafu usifikiri mimi katili sana ikatokea mda wa kula nikiwa nyumban mke wangu na watoto hawajawai kula na mikono yao. saiyoo tumbo limejaa nyama na dompo katoto kachuo kamesha nifanye mwepesiiiiii.
 
Afadhali afe kwa kutafuta mwenyewe kuliko kutulia halafu unaletewa huo wa kuletewa inaumiza bora MTU uutafute mwenyewe kwa raha zako siku ukiupata utajijutia mwenyewe


hhahahhhhaha best umepinderrr
 
Hahahah!, kwa kweli. Naona mchepuko wake anaousifia mchana uko chuo, usiku unahamisha makazi kona bar.

Mwanachuo lazima namaanisha lazima awe na msululu wa wanaume kama watoto wa bata.....

Boyfriend wa chuo, kulala wote usiku baridi kulala mwenyewe mwisho ubanwe kifua.

Msuuza rungu, huyu anapendwa kwa ajili anagawa dozi ilioenda Shule.

Papaa zombie, zee la kumhudumia we kila wiki mtu anasuka nywele si chini ya 30 wazazi wapo huko tambaautwikekapulanyege unadhani hela atoa wapi.

Bado mchumba aliemuacha home anasubiri amalize chuo.

Chuma cha mjerumani heri ungejisifu unapiga beki tatu, make kwa beki tatu utakua ni wewe tu labda na mwanao anapiga piga kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…