Basi we utakuwa zebra cross maana we nawe si ulizaliwa na mwanamke!!!Wewe kutiwa na Mme wako uko vichakana sijabisha unaliwa na mchepuko kichakani. mkiambiwa akili zenu zinawatosha kuvuka barabara na kubadilisha pad mtasema Mmetukanwa
Mpende jirani yako kama nafsi yako.Kila MTU atabeba mzigo wake mwenyewe
Umeniangusha sana, nilishajipa ushindi kuwa nguvu nilizotumia hapa angalau zimeokoa ndoa mbili tatu na ya kwako ikiwemo.. inakuaje tena unanishawishi aisee? Na upweke huu unafikiri nitakataa?Nakuletea huko home uje kunywea hapo hapo. Ili ukinyegeka tu tuyamalize wenyewe. Mashaka yangu ni wewe, namcheki wife hapa namuona yuko busy kwa simu alafu ni full vicheko.
Unalilia dyudyu kwani anayo yeye tu!! Akuu jipatie nawe yako akirudi anakukuta mwepesiiiiiiiii walaa hauna habari, unawasaidia tu watoto homework.Hahaha!, aisee!, yaani sasa hakuna tena mwendo wa kulialia eti mume kaibwa, sasa mwendo ni ku balance tu.
Nakuletea huko home uje kunywea hapo hapo. Ili ukinyegeka tu tuyamalize wenyewe. Mashaka yangu ni wewe, namcheki wife hapa namuona yuko busy kwa simu alafu ni full vicheko.
Shetani sio mzuri hata kidogo, ni maombi yao tu ndio yatatuokoa huku.Kwakweli watuombee tu jamani tumeshikwa na jini mkata kamba
hebu ingia chumbani halafu ita kwa nguvu demii... Isije kuwa ndio wife wako. Mi bado namchunguza espy, wife kakaa tu yupo busy na simu hataki kuangalia cartoon
Ngoja nimuite na chuma cha mjerumani tufanye maombi ya nguvu, huyu shetani jamani mbona hivi lakini!!!Umeniangusha sana, nilishajipa ushindi kuwa nguvu nilizotumia hapa angalau zimeokoa ndoa mbili tatu na ya kwako ikiwemo.. inakuaje tena unanishawishi aisee? Na upweke huu unafikiri nitakataa?
.
.
Njoo basi uniletee BALIMI zangu espy maombi yako yanahitajika ili shetani asipite hapa kati!
Wanashangaa baba yao kurudi nyumbani mapema leo, wanacheka kuwa utakuwa umetoswa na mchepuko.
Sio anachat na mchepuko wake kweli?hebu ingia chumbani halafu ita kwa nguvu demii... Isije kuwa ndio wife wako. Mi bado namchunguza espy, wife kakaa tu yupo busy na simu hataki kuangalia cartoon
hebu ingia chumbani halafu ita kwa nguvu demii... Isije kuwa ndio wife wako. Mi bado namchunguza espy, wife kakaa tu yupo busy na simu hataki kuangalia cartoon
HakikaKila MTU atabeba mzigo wake mwenyewe
Nauliza maswali hata hayana msingi. Siku zote siangaliagi cartoons zao, leo nimekuwa msumbufu ili wanieleweshe. Kuna muda hawanijibuππππ
Dingi unajishtukia tu, hapo hata ukiona mende wawili utahisi wanakusema
Mnakera ..Hahahah... Afu mm sielewag kwann wanaume wanapenda kugeuzia wenzao makosa
nimecheka kwa nguvu hadi wamenishangaa na kwenye tv ni tangazo la biashara.
Umeniangusha sana, nilishajipa ushindi kuwa nguvu nilizotumia hapa angalau zimeokoa ndoa mbili tatu na ya kwako ikiwemo.. inakuaje tena unanishawishi aisee? Na upweke huu unafikiri nitakataa?
.
.
Njoo basi uniletee BALIMI zangu espy maombi yako yanahitajika ili shetani asipite hapa kati!
Wanakushangaa huyu Dingi vipiNauliza maswali hata hayana msingi. Siku zote siangaliagi cartoons zao, leo nimekuwa msumbufu ili wanieleweshe. Kuna muda hawanijibu
Hawajazoea kukuona muda huu huwa wasikia mama anapokufungulia mlango wao tayari wanakuwa walishalalaNauliza maswali hata hayana msingi. Siku zote siangaliagi cartoons zao, leo nimekuwa msumbufu ili wanieleweshe. Kuna muda hawanijibu
Hiyo ndio hofu yangu, the way alivyo hata kuiona screen ya simu ni shida. Labda nijikwae niangukie miguuni mwake na mikono ikwapue simu yake huku macho yamelenga kwenye mwandiko wakeSio anachat na mchepuko wake kweli?
Hebu mfanyie ziara ya kushtukiza hapo
You nailed itSio vya kutunyanyasa hivyo::: kisa mahari nisubiri kuletewa ukimwi???? Haipo hata SKU moja!!!! Mahari yenyewe umechangiwa mpaka na babu mzaa babu!!! Uje kuninyanyasa nayo loooh!