Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,200
- 54,424
Wewe na mumeo wote hamjui maana ya ndoa. Rudin kwa wazee wenu wawafundishe ndoa ni nn.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Sijakariri that is a practice na ni nature... do whatever you can lakini nature itabaki, mwisho wa siku wanaume watakutumia, kukutemea kisha wanaku-damp.
Lets go, provided you dont buy that shit .....Tehe teheee
Haitokaa iprove wrong ndugu.Nature ime prove wrong ndugu. Hata wanawake wana dump wanaume na maisha yanasonga.
Mbona huwa hakuna discount!!!! tehe tehe teheeeSio vya kutunyanyasa hivyo::: kisa mahari nisubiri kuletewa ukimwi???? Haipo hata SKU moja!!!! Mahari yenyewe umechangiwa mpaka na babu mzaa babu!!! Uje kuninyanyasa nayo loooh!
Sijafurahia huyu Dada kuchepuka ila nachohoji wanaume mmeumizwa sana na kutoa povu sababu mwanamke kachepuka mbona mada za nyie kuchepuka mnapongezana au mungu alihalalisha uzinifu wenu,na mmesikia huyo Dada kasema mmewe kazidi umalaya na hata nyumban asieeze kurudi ila mnachoshutumu yeye kutoka nje kumbe mkuki mtam kwa nguruwe kwenu mchungu afu unasema mada itolewe Mara ngapi mnaweka mada za KUDHALILISHA WANAWAKE MNAJISAHAU HAO WANAWAKE KUNA MAMA,DADA NA WATOTO WENU UNATUTUKANA KANA KWAMBA HATUNA THAMAN LEO HUYU DADA YAMEMFIKA UNASEMA MADA ITOLEWE ,HII BUSARA UNGEKUWA UNAOMBA MADA CHAFU ZITOLEWE CYO UNAANGALIA KWQ UPENDELEOHakuna mpumbavu mkubwa kama mwanamke ambae anamdharau mwanaume kwa sababu ya hali yake ya kiuchumi , au Hali yake ya Kijinsi.
Mpaka Mnaowana hiyo ya ubamia hukuiona? Au umeiona baada ya kuamua kuwa Malaya? Uzuri ni kwamba unachokikomesha kipo ndani ya Mwili wako wala hakipo kwenye Mwili wa Mwanaume.
Hapa ndipo tofauti kati ya Mke Bora na Bora Mke inapoanzia.. Eti Anafurahia kuchepua na bado kuna watu wanampongeza..
Nitashangaa hii Mada ikikaa hewani mpaka Jioni
Haitokaa iprove wrong ndugu.
Kuna wanawake wanatembea na wanaume hawataki commitment so ukimdump yeye hajali. Kwa hiyo misemo yenu kuwa tunagonga tunasepa haipo applicable to some women. Na wao wanasema nagongwa nasepa zangu..au namchuna namdump!Sijakariri that is a practice na ni nature... do whatever you can lakini nature itabaki, mwisho wa siku wanaume watakutumia, kukutemea kisha wanaku-damp.
Lets go, provided you dont buy that shit .....Tehe teheee
Yeye anazungumzia wanawake wa karne ya 28 sasa hivi mwanamke anamtumia mwanaume na anasepa tena wanawake wanatumia wanaume vibaya sana na hawana huruma siku ukipata shida though sio wote kuna wengine anakutumia akimalizana na wewe anakuua kabisaKuna wanawake wanatembea na wanaume hawataki commitment so ukimdump yeye hajali. Kwa hiyo misemo yenu kuwa tunagonga tunasepa haipo applicable to some women. Na wao wanasema nagongwa nasepa zangu..au namchuna namdump!
.
.
Mind you ... kuna wanawake wapo ready kuwatumia wanaume. Ukisema unamtumia na yeye anawaza hivyo hivyo!
.
.
Dunia imebadilika na maisha pia yamebadilika. hizo unazosema ni nature zinapungua taratibu.
wanaume tatizo ubabe kwani neno samahani linakugarimu nn mtu umekosa alafu ww unakua mkali fyuuu!!Hahahaaaa wazee wazamani usidhani walikuwa wanaishi mpaka wanafanana haya yalikuwa hayapo yalikuwepo, ila sasa hivi utandawazi tu mwanaume anaenda kuhemea kushoto mwanamke unaenda kupumuliwa kulia, mkikutana usiku mnageuziana migongo mkiamka asubuhi mnatoka vyumbani na nyuso za tabasamu, watoto wenyewe wanafurahiii baba na mama wanapendana, mkilala mkiamka mara miaka 3 ya ndoa, ukipindua miaka 10 , unajisemea niende wap bas mnaishi ila kila mmoja siri yake anavyoishi na mwezake.
Angalia msije mkauana sasa ivi maradhi ni mengi mno.... Ila mwanaume hata kama ni mchepukaji huwa hataki Mali yake iliwe na wengine kuwa makini
Nilikua sijawahi kuonja njee ndio maana nilikua namuonabonge la bwana cc hiv namcheka kizungu tu kama yy alivyokua ananichekaga na mauno yangu ya ki..Mhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Sasa hivi amani mnoo mapenzi motomoto hata asiporudi akirudi asubuhi nampokea na pole nyingiAngalia msije mkauana sasa ivi maradhi ni mengi mno.... Ila mwanaume hata kama ni mchepukaji huwa hataki Mali yake iliwe na wengine kuwa makini
Mtu anayemuogopa mungu awezi kukubali kumuasi mungu kwaajili ya kufurahisha nafsi yake awe mwanaume au mwanamkeHao pia wapo. Wanawake wanaowatesa wanaume hawakosekani..na mke akiwa haeleweki mume atachepuka tu. So kumponda huyo dada mnakosea sana. Mnataka avumilie tuuu kwasababu yeye ni mwanamke au?
Bora umempa mstari wa bible kabisaNinyi fanyieni tu uzinzi ila kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti!(Warumi 6:23)[emoji53][emoji53][emoji53]