Kuchepuka raha

ndo mana wanawake wa siku hizi kuolewa inakua ngumu.. acha 2endelee kuwagegeda 2 mana hamna namna.
 
Mbavu zangu
 
PUMBAFU WEWE.....MALAYA MWENYE SUGU.
 
Ukiona mwenzio ana kibamia, ujue wewe una ziwa victoria.
 
UTAKUTA KAKUANDALIA KANDE KABISA!ILI UJUE MAHARAGE PIA NI CHAKULA!



akilogwa akifanya hivyoo atakula sufuria nzima bila kupumzika.

na akimaliza alale kwa watoto asinisumbue usiku na vijambo

atakuja kuanzisha thread kuomba ushauri.
 
NANI ANATAKA KUOLEWA ,WATU WANATAKA NDOA ILA HAKUNA ANAYETAKA KUOLEWA!

USIMIX VITU WEWE!
utakuaje na ndoa bila kuolewa? au kwasababu nyie mnaweza kuchamba hata kama hamjakunya basi unadhani kila kitu kinawezekana? ah ah ah ah
 
ndo mana wanawake wa siku hizi kuolewa inakua ngumu.. acha 2endelee kuwagegeda 2 mana hamna namna.
Huo msemo wa ndoa kuwa ngumu si za kweli. haya maharusi yanayoendele huyaoni mkuu? Na hizi kadi za michango ni kuku ndio wanaoana? Ndoa zipo na watu wanazidi kujiunga na chama. Asikwambie mtu ndoa tamu bwana...ni hivi vikero vidogodogo ndio tunawekana sawa hapa!
 
Kwani mwanaume akiwa anachepuka hua anakusudi la kuvunja ndoa yake?kwanza nachepuka kwa siri sio achepukavyo mme.
ahhahahahhahhha WANAUME WANASEMA HATA KAMA NACHEPUKA LAKINI WEWE NDO MKE WANGU !NINGEKUWA SIKUPENDI NINGEKUOA!



SO SA HIZ NI HATA KAMA NACHEPUKA WEWE NDO MUME WANGU NINGEKUWA SIKUPENDI NINGEOLEWA NA WEWE?
 
eeenh mama!
tunawekana sawa tu mambo yakae kwenye mstari wa GREENWICH kama sio wa PAMBIZO
 
WAKATI ANAKULA WE UTAKUWA UNACHAT ENH?
ahahahahahahhahaha WANAUMEEEEEEEEEEEEEEEEE!
KWIIIIIISHA HABARI YENU!



ntakuwa na chat?????? kweli wewe ndoa yako changa.


nyama choma zimeisha uko mtaani? tena ndo napata chance nzuri ya kumpigia mchepuko wangu (mwanachuo) tukasage nyama.
 
Mmh naona una apply ile kanuni ya Waisrael ya tit for tat ingawa sina hakika sana kama itawafikisha mahali salama.Hapo tegemea UKIMWI na fumanizi ambavyo vyote matokeo yake ni kifo.Kwa hiyo ninakushauri mkae pamoja na mmeo mzungumze tofauti zenu,ikishindikana washirikisheni wazazi au viongozi wa dini.
 
ntakuwa na chat?????? kweli wewe ndoa yako changa.


nyama choma zimeisha uko mtaani? tena ndo napata chance nzuri ya kumpigia mchepuko wangu (mwanachuo) tukasage nyama.
HAHAHAHAHAHAHHA KUMBE UNAJUA UTAENDA KUFANYA NINI!
sasa UNAVOWAZA KUWA ATAMALIZA SUFURIA LA KANDE?


GROW UP KIJANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…