Kuchepuka raha

Umesikia kilicho tokea Arusha, leo, basi wenzako waendekeza mchepuko wamepigwa kibiriti, sasa na wewe endekeza uchepukaji alafu utaona majibu yake…
Mume atapigwa kabla ya mke.
 
Brothers mwanamke ndio nguzo ya familia....ukioa mwanamke mwenye mawazo kama ninayo yaona humu...ndoa yako haita dumu mwaka i guarantee you....wanamme ni kama watoto, ukiona kachepuka jua kwamba mama hujatimiza wajibu vzr
Ha haaa eti mwanaume ni mtoto! Mtoto utawezaje kuwa kichwa cha familia? Mwanamke mtu mzima sio! Na utoto wenu kwanini mnakimbilia ndoa? Bakini kuwa watoto muuendelee kufanya matusi. Ndoa ni kwaajili ya watu wazima wenye akili timamu!
 
Ujue wanachosha hawa watu, Huyu mwanamke anaongezewa tena jukumu la kumtoa mununo mmewe kisa katoka kuchepuka na kununa juu heeee!
Bora mnunisho uwe umeusababisha wewe, yaani mtu kajipnga kujinunisha kwa sababu zake eti wewe busyyyy kum-un-nunisha!! Kiruuuuu!!
 
Hapa ndipo tunapokosea hasa tunapotaka kulipizana kisasi, na usidhani kama unatatua tatizo bali unaliongeza tatizo kuwa kubwa zaidi ya lile ulilokuwa nalo.

asiyesikia la wakuu, huvunjika guu..siku utakayovunjika guu ndipo utakumbuka ushauri wa wengi humu ndani!
 
Kibamia ni relative term. Mwanzoni alidhani dyudyu zote size moja. Alivyochepuka kapata kubwa kuliko aliyonayo mumewe
Akienda kwa mwingine ataona ni kubwa zaidi, atamuita na huyo ana kibamia,
 
Bora mnunisho uwe umeusababisha wewe, yaani mtu kajipnga kujinunisha kwa sababu zake eti wewe busyyyy kum-un-nunisha!! Kiruuuuu!!
Ndo hapo sasa
harafu kinachomununisha sijui kitu gani! Uende kwa raha zako,harafu uninunie mie,ndo maana nawaambia wajifunze kwa wanawake hakuna mwanamke anayetoka kuchepuka arudi home amenuna hayupo!! Anarudi kwa tabasamu la bashasha maana anakua mwepesi mpaka basi hata ukimwambia apande mlima uluguru kwa kukimbia mbona anaenda.
 
Siku izi mkipewa keleb mnakimbilia social media, mara dawati la jinsia au mahakamani. Tumeamua tutafute mbadala, mkizingua zaidi tunachoma moto ili tukakutane dawati la jinsia huko Mbinguni
 
Hebu pendekeza hiyo njia ya kutatua tatizo kama ipi?
 
Lazima arudi amenuna maana amegharamikia kila kitu kwa mchepuko..kuanzia vocha, msosi, vinjwaji, lodge na pesa ya kuhonga..Halafu kakuta nyama ni ile ile bora ya mywife! Mnuno hapo lazima!
 
Inabidi siku mme wake akitaka kupiga game again, wakati wa game afake kilio like yalaaa, waniua, tamuuu jamaa litajiona kidume kichizi litaanza kusahau michepuko..
Wanaume huwa tunapenda women wanaolia wanapopigwa dudu, over.
 
Miaka yote hukujua kuwa ni kibamia,yaani unavyosema mmeoana miaka mingi maana yake kakuchoka na akawa anapata raha kwingine labda hujui kapata shimo la saizi yake na la kwako kaliona kubwa kupita kiasi halikuwa linamfurahisha kwa huo ukubwa uliopitiliza.
 
Ndoa ni uvumilivu my na mwanamke anatakiwa ajiheshim siri za ndani kwako c za mkekani bana aya michepuko c dili pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…