Kuchepuka raha

Kashangaa umerudi mwepesiiiiiiiiiiii

Halafu walaaah huhangaiki kumvua boksa

Abane tu dushe yake hadi iliwe na nyenyere....
 
Utamu baba utamu

Kama humpi mkeo utamu hata umjengee strongroom na ujaze madolari watakupigia tu...

Kama una wanawake chungunzima mkeo akakuonya weeeeeeeee ujue watakupigia tu
 
Mkuu flirting ilovyo tamu, daaah hako ni kaugonjwa tena kanaambukiza
. Tena ukimaliza ku-flirt unakimbia kwa wife unacheza nae rede huku ukikumbuka ile flirting na espy.

Vijana endeleeni ku-flirt, kwanza wadada wanalika kirahisi ukianza ku-flirt nao.
 
Wakati tunaendelea kupongezana kuhusu cheating, wale wanaoamini katika kuombea marehemu apunguziwe adhabu wasimsahau huyu mrembo, pretty lady daaah!!
 
Kuchepuka raha sana maana ukiendelea kukaa kwenye njia kuu ni shida.hata daladala huwa znachepuka kuepuka mengi kama foleni na trafik.hivyo mmeo nae alikua amekuwekea kafoleni kadogo big up sana kwa kuchepuka.
 
Duh pole sana, hilo swala la kulogwa hapo Koh wanaume wanafanyiwa sana huko
 


Uwiii!, wewe dada jamani Mungu Akulipie!
OMG!, mpaka akapatwa na nini?!!
Asee!, nilifikiri nina uvumilivu lakini sijafikia wa kwako. Girl Mungu Akulipie kwa kweli!
 
Duh pole sana, hilo swala la kulogwa hapo Koh wanaume wanafanyiwa sana huko
Nini kurogwa....

Wakienda huko mara wachomewe chumvi.....

Hawajakaa sawa wakanyagiwe shahawa....

Kabla hawajageuka mwiko utapigwa mahali

Akitaka kunyanyuka kuna mtu anamfanyia ya maji

Asipumue vizuri chupi zitanuiziwa

Hata kuhema hawezi team vitambaa watavifunga na kufunika kwenye ndoaa na mabeseni

Kabla hajapiga kelele watamfunika na ungo

Wataacha kuchanganyikiwa? Yote ni gharama ya umalaya wanaojisifia kuona ni ushujaa... wangetulia na wake zao yasingewapata zaidi wangeombewa mafanikio tu.....mwendo wa novena
 
Wakati tunaendelea kupongezana kuhusu cheating, wale wanaoamini katika kuombea marehemu apunguziwe adhabu wasimsahau huyu mrembo, pretty lady daaah!!
Huyu alichepuka peke yake? Unaendeleza yale yale tuliyokuwa tunayapinga! Weka na picha ya mzinzi mwenzake!
 
Kabla ya kuoana hukuona hicho kibamia? Hapo ndo wanawake tunapokosea. Kuchepuka si suluhisho mamii unachochea uharibifu zaidi kwenye ndoa yako
 
Kuna jamaa yeye ana mchepuko binti wa kitanga, yani siku akitoka kuonana tu na mchepuko huo ugomvi sasa nyumbani ni wa kuzima na kikosi cha zima moto, hata wife kishagundua hilo
Afu ukimuona sasa jamaa na mchepuko wake unaweza Dhani ni jamaa na mganga wake kumbe mchepuko teh teh teh halo ya simba mla kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…