Kuchepuka raha



They really need to be MEN!, and act like one.
 
sio tu kwa mume wake..ila
Mhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
na kwake pia...kila mtu akisema la kwake hapa unadhai patakalika humu...watu wna matatizo usituone tuko 24/7 humu JF
 
Raha sana aiseee!!

Umepanga final results lakini?

Jipe raha mkuu, hakuna wa kukupangia maisha
yyaah hilo ndo tunaloweza kumwambia kwa sasa...ila sijui alitumwa na nani kuwahi ndoa..watu wengne bwanah ..kwani uliambiwa lazima kuolewaaa??
 
kuna yule anayefanya jambo kwa kutegemea wengne watampa sifa ...sasa wacha tumnyongelee mbali...ndo yaleyale unajua mimi nimekaa sanah jela ..utadhani jela ni sifa ...mwache tumnyooshe
 
chepuka zaidi mama...ukiona wenzako wanameza ARV unadhani wanapenda nao wanatamani dakika zingerudi nyuma wasingefanya makosa yaliyo waweka pale...jitambue na ujirekebshe...sio sifa kwa unachokifanya mama
 
Mkuu, mfungo unakaribia. Hii post itakuwa inaharibu swaumu yetu. Hakyanani I can't imagine...., I just want her to be mine, nooooo sharing !!!
Mfungo kitu gani nishaona m y u kafumaniwa kipindi cha mfungo mke anadanganywa napoteza muda ili ifike daku kumbe kaenda kugegeda siku alipofumwa sizani hata huo mfungo kama aliendelea ningekuwa mie hata futari nisinge mpikia tena inya yake mbichi, na yule alienda fia guest siku ya idd tena juu ya kifua cha mwanamke hakuna lolote Mungu anasingiziwa mpaka shetani anashangaa
 


Kumbe hizi case nyingi hivi!, Pole sana dada.
Yaani kuna mijanawanaume Koooonyo! 🙁
 
Usiombe yakukute,nilielewa watu wanaobaka for a short moment, ukame wa miez 9 jmn,almost lost my mind
Sasa best miezi 9 yeye alikuwa anawaza nini, hata kulishwa limbwa hilo kali ni la inya kabisa mtu kama huyo ukicheat akulaumu jamani si ipunguani huo unachepuka kwanza unamaliza stress kisha unaenda kwa kiongozi wenu wa dini wamuulize kama yupo timamu au dishi limeyumba
 
Hata hivo una moyo miezi tisa???
Mi wiki tu ikiisha asee hali ya hewa lazma ichange
Usiseme hivyo wanawake wanavumilia sana wiki 2mwezi mambo yakawaida nikuomba Mungu wakati mwingine unamwambia Mungu kwa hili samehe kabla hujalifanya wanaume Mungu anawaona
 
Pole sana tupe mauzoefu ulitoka vipi!!! Ndoa hivi halafu hapo mke analaumiwa kwa uzinzi
 
Ukitaka kumuweza tafuta wa zaidi yake kama yeye uwezo wake ni sinza ndiko wanakopelekana wewe masaki huko na msasani ili siku akijua alie sana na kujuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…