Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,317
😀😀😀😀Jamani achaa tu ni vile kile kitu kufanya atake mwanaume apatee erection, sijui walimroga chaa, almanusra tuzichape kisa kumvua boksa kinguvuu hehe jmn..nilikua nalia hatari, stress, mwili mzitooo
Kw bahati nkapata safari,Usiombe ktk hali km hii umpate mtu mnafungiana ndani siku 3 nzima anakupunguzia stress...I really needed it..mtu unarudi mwepesiii and happy again
Maisha hayaa...
Usiombe yakukute,nilielewa watu wanaobaka for a short moment, ukame wa miez 9 jmn,almost lost my mindInteresting...una mvua boxer kwa nguvu?
Hahah usichekee jmnn,aibuu ila nifanyejee ss..😀😀😀😀
Nachekaaaa kama mazuri
Si bora tumeishia kutoa povu tu, kuna wengine wanafanya wenzao mkaa, tunajaribu kuwaepusha na kadhia za namna hiyo.Leo wanaume povuuu mbona jingii...
Utumie muda adimu wa ndoa yako kufurahia na familia yako badala ya kuhangaika na majibu na maswali ya wapita njia mitaani. Hata siku sms imekosewa namba inasema mwanao huku ananisumbua darling, inaweza kuwa ndio mwanzo wa kuporomoka kwa hiyo ndoa.Kwani mkeo ni dada yako? Mwili mmoja huo. Muache akorokochoe kila mahali, na maswali yake umjibu vizuri tu tena kwa adabu.
Hehe kama nakuona. Ila inasikitishaMiezi 9!!! Yumo humo humo ndani!! Si umbake.
Huko kumvua boxa kwa nguvu ha ha ha mi hoi, mwisho upate kesi ya kubaka....Hahah usichekee jmnn,aibuu ila nifanyejee ss..
Miezi 9? Sina uvumilivu huoUsiombe yakukute,nilielewa watu wanaobaka for a short moment, ukame wa miez 9 jmn,almost lost my mind
Can u imagine balaa lake..I look back and am like whoo kumbe I can actually go back to my virgin years...mtu unakua na hasiraa mda wote huna rahaa khahh wanaume jmnMiezi tisa hupati kadudu 😀😀😀
Tena wewe nitaanza kukualika kwenye michango kabisa.. teh teh teh tehUsisahau sasa kutualika
Hahaha mbona ntakuharibia mke aisee. Inshallah, tuombe tu uzimaTena wewe nitaanza kukualika kwenye michango kabisa.. teh teh teh teh
Alafu Kitchen Party uwepo ili umueleze vizuri mumeo akichelewa ujue amepitia kwenye madili...
Hata hivo una moyo miezi tisa???Can u imagine balaa lake..I look back and am like whoo kumbe I can actually go back to my virgin years...mtu unakua na hasiraa mda wote huna rahaa khahh wanaume jmn
Wewe tena na hobby yakoHata hivo una moyo miezi tisa???
Mi wiki tu ikiisha asee hali ya hewa lazma ichange
Still living at the same place? Ili siku zikifika nije kugonga hodi hehehe..Hahaha mbona ntakuharibia mke aisee. Inshallah, tuombe tu uzima
Eeeh same place, ukuje tuStill living at the same place? Ili siku zikifika nije kugonga hodi hehehe..
Itakua kuna mtu alimroga sio bure, mume unamtega hategekiiiii....unavaa ovyo ovyo tu aitamanii wapiiii,unamuomba anapiga chenga,mara anaumwa sijui kidudu kinawasha mara kinatoa nini sijui ktk kuchepuka mtu kampa STDs ss inabd usubiri tu apone,miezi 2 inakatika unavumilia,kosa dogo anakupa mgongo wiki nzima, simu hapokei,anachelewa kurudi,.. Aisee sijui nilitoa wapi zile nguvu za kuwait 9 months, ila ndo nilikua na hasira sanaa cz of stress na ye nilikua namsemaaa namjibu mbovuu hatari hata hio appetite inamuishia naona..Hata hivo una moyo miezi tisa???
Mi wiki tu ikiisha asee hali ya hewa lazma ichange
Aiseee, yani na STDs juu ila mtu hakomi khaaItakua kuna mtu alimroga sio bure, mume unamtega hategekiiiii....unavaa ovyo ovyo tu aitamanii wapiiii,unamuomba anapiga chenga,mara anaumwa sijui kidudu kinawasha mara kinatoa nini sijui ktk kuchepuka mtu kampa STDs ss inabd usubiri tu apone,miezi 2 inakatika unavumilia,kosa dogo anakupa mgongo wiki nzima, simu hapokei,anachelewa kurudi,.. Aisee sijui nilitoa wapi zile nguvu za kuwait 9 months, ila ndo nilikua na hasira sanaa cz of stress na ye nilikua namsemaaa namjibu mbovuu hatari hata hio appetite inamuishia naona..
View attachment 513474View attachment 513476Watu 2 wa jinsia ya kike na Kiume ambao bado majina yao hayajatambulika wamekutwa wamepoteza maisha katika Kitongoji cha Elkiurei Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru kwa kile kinachosemekana kuwa ni ajali ya moto.
Akithibitisha tukio hilo mwenyekiti wa kitongoji hicho Bwana Enesphori Chami amesema kuwa tukio hilo ni la kushangaza kwasababu wamekuta marehemu hao katika mazingira ya ya kujiuliza maswali mengi kwa kuwa mwanaume alikuwa amefungwa kamba mikononi jambo lonaloleta utata kuelewa nini kilikuwa kinaendelea.
Bwana Chamia amesema marehemu hao walikuwa mwanaume na mwanamke wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka kata ya 30 na 35 lakini kinachoshangaza wameungua wao pamoja na Godoro jambo ambalo linatia wasiwasi majirani waliokuwa eneo hilo.
Naye shuhuda aliyejionea tukio hilo amesema kuwa walilazimika kuvunja mlango kwa kuwa ulikuwa umefungwa kwa ndani lakini dirisha lilikuwa limefunguliwa jambo ambalo hawajaelewa kwasababu marehemu hao mwanaume alikuwa amefungwa kamba.
Shuhuda huyo amesema kuwa Mwanamke huyo anajulikana kwasababu wako naye siku zote lakini mwanaume anaonekana kuwa ni mgeni kwasababu hawajawahi kumuona na mwanamke alikuwa anaishi peke yake.
Naye Diwani wa kata ya Kiranyi Bwan John Seneu amesema kuwa tukio hilo ni la kushangaza kwasababu kama ni nyumba kuungua ingeteketea yote lakini kilichoungua ni godoro peke yake kitu kinachoendelea kuwafanya wananchi kuwa na maswali mengi.
Hata hivyo ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa makini Na matukio kama haya na kutambua wageni wanaowatembeleakatika maeneo yao
Pamoja na hayo jeshi la polisi linaendelea na upelelezi ili kubaini chanzi cha tukio hilo la kusikitisha.
Kwa hizo picha inaelekea hawa watu waliuwawa kabla ya moto... Naona kama amefungwa kamba na yupo too still...
Soma hapoToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Ni esoma hii!!!Soma hapo