ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

Mkuu ukichunguza hiyo picha kwa makini jamaa kama walimfunga mikono, na kuna uwezekano waliwazimisha kwanza then wakawachoma. Hakika huu ni ukatili Mungu awalaze mahala wanapostahili.

Huu ndo ukweli halisi,waliuwawa then moto kupoteza ushahidi.
Haiingii akilini uchomwe moto kusiwe na kelele za kujiokoa heri ingekua porini hapo ni mtaani

Rip
 
Mungu anatisha sana,jamaa wamekufa kwa dhambi ya uzinifu na mbaya zaidi moto wameanza kuupata hapa hapa duniani.daah Mungu anatisha tuache maasi
 
Picha nzima hii hapa
383c1fcdb8d14f9151d91ceaeda417ba.jpg
 
Mkuu umenena sawa, cha msingi ni kuacha uzinzi na sio kusikitika. Ukijiona ww ni mzinzi basi jua upo kwenye foleni ya kutendewa ukatili wa namna hii au zaidi ya huu. Yaliyowakuta wenzetu liwe ni funzo kwetu
Kwl mkuu vitu vingine tuna uwezo wa kuviepuka ila niviburi vyetu ss wanadamu,hatutaki kufuata aliyoyaamrisha Mwenyezi Mungu.
Dunia inatudanganya sana Mungu atunusuru kw haya mambo machafu maana ukifa na stahili km hii sijui utaenda kujibu nn????
 
Back
Top Bottom