Kuchepuka raha

Ukionyesha dalili za wizi itapekuliwa tu.
 
Bora kama unaelewa kaka,nishawahi kaa miezi 9 deshiii mume ananizungusha tuu michepuko kibaoo,mara nimechoka mara sijui naumwa nini mara sijui ushuzi gani... Ny*** zake..sipigizani kelele na mtu anymore wala kuulizia kidude... Mpaka mke anacheat mume jitafakari sana
Unamheshimu mtu ila inafikia hatua it's too much
 
Subuhanallah yaan mtu wajisifia uzinzi mbele ya kadamnasi eeeee mmmh nimekushindwa tabia
 
Miezi 9!!! Yumo humo humo ndani!! Si umbake.
 
Naam, akiisha oa anapeleka group sms kuwaalifu kuwa ameoa na simu haina password na mother house ana full access. Japo mitaani huwa wapo wapandisha presha, wakijua tu lazima wapandishe presha ya mke hasa wakijua ni mtu wa kupanick. Ushauri wangu, achana na simu ya mkeo na achana na simu ya mmeo.
 
Miezi tisa tu ukapigisha kitu nje...aaaah we bidada mfungo unaanza ujuwe
 
Miezi 9!!! Yumo humo humo ndani!! Si umbake.
Jamani achaa tu ni vile kile kitu kufanya atake mwanaume apatee erection, sijui walimroga chaa, almanusra tuzichape kisa kumvua boksa kinguvuu hehe jmn..nilikua nalia hatari, stress, mwili mzitooo
Kw bahati nkapata safari,Usiombe ktk hali km hii umpate mtu mnafungiana ndani siku 3 nzima anakupunguzia stress...I really needed it..mtu unarudi mwepesiii and happy again
Maisha hayaa...
 
Pole
 
Miezi tisa hupati kadudu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakaoe bibi zao watupunguzie bugudha.
Ninachojua bibi na mama zenu mlio wengi walikuwa full house wives. Hawakuijua saloon, vikuku, kuongeza urefu wa kucha, nadhani hata mayai hawakula wakati wa uja uzito! Hapo babu zenu walilelewa na hao bibi zenu kama wafalme, bread winners. Sasa hawa wa kileo, mshahara kamzidi mmewe, bado anataka saloon apelekwe, gari anunuliwe, atafutiwe binti wa kazi, na maamuzi ya nyumbani ayafanye yeye! Ndoa nadra siku hizi, watu wanaishi pamoja!
 
Interesting...una mvua boxer kwa nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…