kwa sababu namfikiria mwanamke kama Mama wa mtu fulani...Umeongea kwa uchungu sana. Pole!
Yaani hii mada imekuwa na mpambano kwa sababu moja tu.. wanaume wameanza kumponda walivyoona mke anataka kuchepuka...wakaongea as if mke hapaswi kuchepuka.
.
.
Tunashangaa why asiweze kuchepuka na yeye ni binadamu?
Why men kila siku mwenzao akitoa mada za kutendwa na mke majibu anayopata ni kama haya..
mtafutie mwenzake huyo atatulia, bro kwani wanawake wameisha?
[emoji23] [emoji23]
Na wanaenda mbali kabisa kupeana mbinu za kuchepuka ili wasikamatwe. Huwa tunawaangalia tu hatutii neno. Mmeshajustify kuwa michepuko ni sehemu ya miili yenu..
.
.
Hatushabikii huyo dada kuchepuka la hasha! Ila akiona sawa na achepuke tu. Mbona ni kawaida? Tumeshazoea michepuko kutoka kwenu, wengine tunaishi tukijua kabisa mume ana mchepuko yaani mpk jina unaujua na mume hakuonei hata chembe ya huruma. Sasa kwa hali hiyo utaniambiaje mimi nizuie hisia zangu kwa wanaume wengine wanaonitamani au kunipenda?
Eti utacheka kinini!! Waache wajichetuage tu wakifikiri sifa.Haha bora BAK atupeleke break kidogo.
Kwa kweli usiombe mwanamke akuchoke, utacheka kitalebani
Mkuu hata mimi sijui ID ya mtoa mada.unajua sijasoma id iloleta mada hii...
mkuu ww ndo ulochepuka au..,
Umesema vyemaIkiwa mke utachepuka sababu mume kafilisika/kaumwa/kaachishwa kazi/ huyo hafanyi vizuri hakuna kipindi kizuri cha kuonyesha upendo kama kipindi ambacho mwenza wako ana matatizo.
Mkuu narudia tena huyu dada kaona njia yake bora kupunguza maumivu ya kudharauliwa baada ya mume kupata mchepuko ni bora na yeye achepuke, hata tushauri vipi ni kitu alichoamua na yupo happy na hilo.
Labda ameona akiondoka atawanyima haki watoto wake ya kukaa na baba yao so akaona ni bora uamuzi achepuke.
Laiti mumewe angeomba msamaha sidhani kama yangefika huko, inabidi tuelemishe pande zote mbili athari za kuchepuka katika ndoa na sio kukemea upande mmoja na mmoja mnauchekea.
Napenda nikiri ni kweli akichepuka mke na mume anaedharaulika ni mke, huo ndiyo uhalisia.
Ndio inawezekana. Unatafuta wa kufit nae basi.Inawezekana ukawa na k kubwa ukaona mumeo ana kibamia.
Wana wivu kweli hawa majamaa. Unakuta mke nachepuka na mume wa mtu. Ila mimi mke naonekana sina akili..mume wa mtu ana akili tena rijali. Nonsense!Yaani povu linalotoka hapa nashindwa kuelewa kabisa eti mwanamke akic
hepuka hana akili kabisa kwahiyo mnataka
kutuaminisha mwanaume akichepuka ndo ana akili siyo?
Harafu hasira zote hizo za nini? si tunachepuka na wanaume wenzenu? Mbona mnawaonea wivu namna hiyo acheni bwana.
Ila seriously I know you can't do that eti umkomoe mmeo..Aaah mbona msijali
Read between the lines.Nawasoma tu lakini, mmefurahi kweli yaani dah! Mungu asimamie wake zetu wazidi kupewa hizi busara aseee...
Yani nimkomoe mtu kwa kutumia mwili wangu? labda tu niamue kufanya kwa tamaa zangu.Ila seriously I know you can't do that eti umkomoe mmeo..
I gave you an assignment yesterday, ebu tafuta hii movie ASAP..
Look at this beautiful family..
Dad should give a little bit of his time for his kids..
Ila kiafrika ukifanya hii aiseee utaonekana wa ajabuuu sana.. Baba wanaambiwa mtoto asikuzoee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu watapewa talaka leo kisa comments, kama tu ukiropoka unapata ukimwi hehee
Nawaona nawaonaa[emoji23] [emoji23] nmehamishia ligi hukuInauma eeeeh! Sukumizia na maji.
Hata mwanaume anayeelewa nafasi yake katika familia, anaipenda kuijali na kuiheshimu familia yake, anayemuheshimu Mungu na kiapo chake cha ndoa; hutomuona akijiendekeza kuchepuka wala kumkandamiza mwanamke kwa sababu anajua mwisho wa siku, duniani tunapita tu makao yetu ni mbinguni. Yupo busy kutengeneza maisha yake na Mungu kwa sababu ndo kusudi lake duniani na Kumcha Mungu hakuna jinsia. Na wanaume wa hivi are at the verge of extinction kabisa. Amri kumi zimeandikwa kwetu sote, sijaona dhambi iliyoandikwa "hii wanaume hata mkifanya si vibaya sana kama kwa mwanamke".