Kuchepuka raha

Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO

Really? Ni aibu how? Nani anayeona hiyo aibu?
Mwanaume anapochepuka anachepuka na hiyo aibu unayoizungumzia. Yaani upo busy kumgegeda mwanamke ambaye mwisho wa siku unatambua kabisa aibu anapata yeye? Au huwa mnachepuka na viumbe gani labda?
 
Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO

Really? Ni aibu how? Nani anayeona hiyo aibu?
Mwanaume anapochepuka anachepuka na hiyo aibu unayoizungumzia. Yaani upo busy kumgegeda mwanamke ambaye mwisho wa siku unatambua kabisa aibu anapata yeye? Au huwa mnachepuka na viumbe gani labda?[/QUOTE]
Wanachepukaga na wanaume wenzao labda.
 
Nimechelewa kuingia jf hata hivyo i was a bit busy leo. Watu wanatamani wavamie server za jf!!
Kuna watu watapewa talaka leo kisa comments, kama tu ukiropoka unapata ukimwi hehee
 
KORBOTO Mkuu nakuelewa sana.. Na ninakubaliana na hoja zako pia nadhani tunachokubaliana ni kwamba pande zote mbili huchangia hali Hiyo kutokea.

Naelewa pia kuwa hata wao kwa sehemu wamekuwa chanzo cha kuchepuka kwa wanaume.
 
unajua sijasoma id iloleta mada hii...

mkuu ww ndo ulochepuka au..,
 
umeuaaaa! Ila jamani mpaka unaolewa na mtu mwenye kibamia unakuwa umependa mwenyewe.
.
.
Always Shake Before Use!
Inawezekana ukawa na k kubwa ukaona mumeo ana kibamia.
 
Ikiwa mke utachepuka sababu mume kafilisika/kaumwa/kaachishwa kazi/ huyo hafanyi vizuri hakuna kipindi kizuri cha kuonyesha upendo kama kipindi ambacho mwenza wako ana matatizo.

Mkuu narudia tena huyu dada kaona njia yake bora kupunguza maumivu ya kudharauliwa baada ya mume kupata mchepuko ni bora na yeye achepuke, hata tushauri vipi ni kitu alichoamua na yupo happy na hilo.

Labda ameona akiondoka atawanyima haki watoto wake ya kukaa na baba yao so akaona ni bora uamuzi achepuke.

Laiti mumewe angeomba msamaha sidhani kama yangefika huko, inabidi tuelemishe pande zote mbili athari za kuchepuka katika ndoa na sio kukemea upande mmoja na mmoja mnauchekea.

Napenda nikiri ni kweli akichepuka mke na mume anaedharaulika ni mke, huo ndiyo uhalisia.
 
Nyie mkichepuka huwa mnatusingizia, kwahiyo acha tu nasie tuwasingizie. Leo imepenyaaa hadi kwenye mifupa eeeh!!
em tuanze na terms zinazotumika.

NIMEKANYAGA KISHENZI
amekanyagwa kinoma
 
Duuuh... Wenye wake kazi tunayo..


Ila Mara nyingine sisi Wenyewe tumekuwa chanzo cha wake zetu kuliwa huko nje. Haya mambo haya acha tu.
Si wanaenda kupata ujuzi wakirudi wanawapa mambo adimuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…