Kuchepuka raha

Nakunywa Balimi shosti sina hata gharama!
 
Hehehe kwani nyie mnavyochepukaga, si mnagonga shoo vizuri tu mnarudi home? Na wanawake wachepukaji wapo smart kama nyie, ukirudi home Unamkuta tu tena anakupokea kwa adabu zote. "Pole na kazi mume wangu" dadeki

Nina gelofrend yeye anasema akikufuma atanyanyua virago tu. Haya mambo ya visasi yeye hayawezi. Yeye na wewe wote mnahitaji maombi
 
Girl umeona jinsi wanavyotaka ma door mats?!!
Akakitembeze huko, akachafue na matope ya kila aina and then God knows ataokota magonjwa mangapi, halafu anataka arudi akukute uko hapo unamsubiri afutie uchafu aliotoka nao nje.
Unbelievable!
 
Umetafuta mchepuko kupunguza maumivu lakini ukweli utabaki upo kwenye ndoa hata unavyosema ni kibamia umekiona leo wakati ulikuwa unakililia kibamia hayo ni maneno ya mkosaji........suluhisho sio kuchepuka ipo siku utamwina mchepuko wako naye ana kibamia utatafuta mwingine......kumbukeni madhara baada ya kuchepuka
 
Ikifikia mpaka mwamamke anaamua kuchepuka jua yamemfika na kavumilia sana! wanaume wapendeni wake zenu na ukikosea omba msamaha yaishe, ila ukijifanya kiburi na kununa juu, watawachapia sana wake zenu.Huo ni ukweli usiofichika.
Sawa mkuu tutawapenda na kuwaheshim
 
Relax ndugu. Ikinishinda haitakuwa mwisho wa dunia! Marriage is not everything in this world.
.
.
Bila ndoa mtoto unapata na penzi unapata. Nini zaidi nitamiss?
.
.
Remember We Only Live Once!

Eti uishi kwa kunyanyasika, sijui kwa maisha gani.
 
Girl umeona jinsi wanavyotaka ma door mats?!!
Akakitembeze huko, akachafue na matope ya kila aina and then God knows ataokota magonjwa mangapi, halafu anataka arudi akukute uko hapo unamsubiri afutie uchafu aliotoka nao nje.
Unbelievable!
Wanaota hawa. Hiyo miaka yote nakaa namsubiri arudi, yeye nani?
 
Ha ha ha ha ha ipo siku utakuja kuachwa halaf ujutie yte uliyofanya
 
Hehehe kwani nyie mnavyochepukaga, si mnagonga shoo vizuri tu mnarudi home? Na wanawake wachepukaji wapo smart kama nyie, ukirudi home Unamkuta tu tena anakupokea kwa adabu zote. "Pole na kazi mume wangu" dadeki

..Huku ana kinywaji pembeni cha kumpa company wakati anamsubiri...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…