Kuchepuka raha

Kumbe kabamia ulikuwa ukikasosa unaumia hiyo ni dalili anajua kukatumia na ndiyo maana ulikuwa hoi

Usiache mbachao kwa msala upitao
 

UNA NYOTA YA UKIMWI INAKUFUATA ..omba toba kwa Mungu ...lile agano la ndoa litawatesa wengi sana maana unafanya usaliti na kwenda kinyume na mapenzi ya Mungu...ikimbieni zinaa
 
Haya mapenzi ni ya ajabu sana, inakuaje mwanamke mzima mwenye ndoa uanze tu kulalama na kujiona sasa umeshinda kwa kuchepuka eti mumeo ana "kibamia"? Hapo umesahau kitu kimoja pia, ukute na wewe papuchi yako imetumika sana hata kabla hamjawa pamoja na mwenzio na kufunya iwe kubwa kama bwawa kiasi kwamba sasa inakuwa tabu. Mbona wengine zipo tight na kuna steel wire za kutosha ndani kiasi kwamba mwanaume hachomoki. Hujajiuliza hilo? Endelea tu utavuna unachopanda sasa. Kwanza isitoshe nimekushtukia wewe ni mwanaume sio KE. A real woman won't trash talk like that. Shame on you!
 
Duh! Kumbe wanaume peke yao ndio huongea na kufanya mambo ya kipuuzi! Sikujua
 
Hizo ndio ndoa za watanzania.
 
Kama umeamua kuchepuka wewe chepuka tu. Lakini mambo ya kusingizia mumeo ana kibamia ni utoto. Kama hawara wako anakuridhisha ni vema tu. Ki-imani ni dhambi but who are we to judge? Hata mimi nagonga wake za watu even though I am not proud of it lakini ndio ukweli. Hizi ndio zama zetu kwa bahati mbaya ndoa imekuwa taasisi ya taswira tu na si kujikita kama zamani. Ila kwa uzoefu wangu wake za watu huchepuka to fill an emotional void left empty by an emotionally and physically absent husband. Ndio maufundi ya nje wanayafurahia lakini chanzo ni upweke. Ni wachache huchepuka kwa ajili ya pesa au u-malaya kama hulka.Tatizo ni moja dada yangu, umeanza kuchepuka hutakaa kuacha. Jamaa lazima anasimamia kucha. Utakapokuja kuharibu maisha ya ndoa yako na watoto wako, kaa ukijua wanao watakuchukia daima. But until then wewe jilie tu hilo hogo la jang'ombe. Sio kitu cha kujisifia wala kubeza,ila ukweli utabaki pale pale ya kuwa si muarobaini wa matatizo ya ndoa yako. It is what we call a temporal solution to a chronic problem, it won't last.
 
Umeoa?
 
kwa mtindo huo..acha nisioe tu..na kamwe sitokuja kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…