Kuchepuka raha

Wahehe watundu kunako 6x6
Ndo maana jamaa ako lazma adate..
 
Umekunywa mbege ya wapi jamnn..

Huyo kaka mnamnyooshajeeeee!!
 
Umeongea ukweli maana Ujumbe wake umeibua mbinu nyingi sana ambazo zitatumika kuchepuka kwa wale ambao walikuwa si wachepukaji. Tunayajua mengi kupitia comments za akina espy, nao, Nalendwa, Evelyn Salt, demi, Heaven Sent, na wengineo.
TUTAKE RADHI.

"You are what you chose to become". Kama una mwanamke ambaye akisikia tu mashoga zake wamesema/wamefanya kitu fulani na yeye akafanya basi atakuwa na matatizo sana. Muombee sana mkeo, Mungu akampe ufahamu na maarifa. "USIMUACHE"
 
HAHAHAHHA!
kuna kadenial mnako wanaume mkiweza kutoka hapo kama hivi!
aaaah burdani!
usijali mkuu hata sisi tumejifunza ,maana sio kwa ukauzu huu!
unajua maana yake nini!
TUMEFIKA MAHALA PA KUTOKUONA UOVU NI UOVU!
nafsi ikishafika hapa aisee inakupasa hata wewe mwenyewe ushtuke!
 
wanawake wa karne hii mungu awasamehe kwa dhambi mnazotufanyia, yani mwanamke umetolewa mahari kabisa afu unaenda kubanjuliwa nje ya ndoa? et kisa kumkomoa mumeo? ujue wanaume tumeumbwa kua na mwanamke zaidi ya mmoja iyo ni nature kabisa na siyo dhambi coz hata mtu wa mungu mfalme suleiman alikua na wanawake lukuki lakini bado alipendwa na mungu. Hivyo enyi wanawake msitake kushindana na sisi maana sisi tumepewa kibali na mungu kuwamiliki wengi wengi ila ni kosa kubwa kwa mungu mwanamke kua na mume zaidi ya mmoja ua kutoka nje ya ndoa. hivyo nakushauri ukatubu na uache kabisa tabia hiyo la sivyo jiandae kuteketea jehanam.
 
WE UNATAKA TENA SREDI IFIKE 230 page!
wenzio tunakaa meza moja sa hizi tunaangalia how best tunaweza kutoka hapa!
WE ENDELEA TU!
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…