Kuchepuka raha

Haya mambo ukiwaza sana unaweza ishia kutokuoa..

Ndoa na iheshimiwe na Watu Wote, tuheshimu wake/waume za Watu. Tuwahurumie wenzi wao, tuepuke kutegana tegana ili kutoingizana majaribuni.

Mungu anisaidie nilishinde hilo pepo.
Naomba nikutege ya mwishomwisho kabla haujaacha kabisa.
 
Hv unafahhlam kuw mtu yeyote ataechepuka kwa ajir ya ujumbe wako nawe unakua unashirik zambi za mtu kutika nje ya ndoa na mtu kuzin na wakiacha utakua umechangia kuvunjika kwa ndoa... Kwann ucngekaa kimya tuu ufanye yko kimya kimya nn intension yko ktk jamii, kama chake cha bamia ww je kama unalambo akutangaze ama nini...
 
Eti unalilia dyudyu moja wakati huko nje zimejaa tele!! Si wendawazimu huo!!
Teh teh..Ndo hapo chacha...Nature ya Mapenzi ni kukupa furaha,amani etc..Kwann uteseke sasa..Kama furaha huipati ndani kaifwate hata nje
 
Huwa hawaelewi, let them take us for granted.
 
Hahahah... Afu mm sielewag kwann wanaume wanapenda kugeuzia wenzao makosa
Kwasababu wanaume hatupend kukosolew bora kutukosoa kwa kurumia busara, tunauwezo ambao wakike hawana wa kubadir uongo kuw ukweli kwa kutetea uovu ivooo yaan
 
Haya mambo ukiwaza sana unaweza ishia kutokuoa..

Ndoa na iheshimiwe na Watu Wote, tuheshimu wake/waume za Watu. Tuwahurumie wenzi wao, tuepuke kutegana tegana ili kutoingizana majaribuni.

Mungu anisaidie nilishinde hilo pepo.
Wakati unaomba pia ukae mbali na mie teh nitakurubuni
 
WORD!!!!
Afu ajabu muda unaompa ajirekebishe huku ukimuweka kwenye mstari fanya hivi usifanye hivi ANAISHIA KUNUNA
 
mbona wanatusema sana? Wewe umejiunga lini jf?

Btw kuwa kama ziwa victoria kwani ni tatizo? Kama nitatizo mbona wengine wanashinda kwa waganga?
 
snowhite nakuelewa sana sana Ujue!

Yaani hii hali ni two way sema sisi tunajiongopea nadhani hii hali msingi wake ni jamii iliyotuzunguka lakini hata vitabu vya imani zetu vime site cases kadhaa za wanaume kutoka nje ya mahusiano yao Mfalme Daudi anaweza kuwa Mfano, sasa imejengeka nafsini mwetu na kwenye jamii tunamoishi.

Kwamba ni KAWAIDA KWA WANAUME KUCHEPUKA alafu ni ajabu na fedheha kwa mwanamke kufanya hivyo.

Sio siri kupitia humu napata elimu ngumu kumesa namna ya kuendelea kuwa mume bora na mwaminifu kwa mwezi wangu.

Hizi story zisikie kwa jirani tu uwe mke au mume omba yasikukute aseeee ooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…