Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
na mm naenda kucheat mchana huu....hahahahahaha
Alaf hiyo huwa nzuri sana aisee. Tena jioni unarudi mapema, mchnagmfu kwa mwenzako, na makea kibao...
na mm naenda kucheat mchana huu....hahahahahaha
kumbe na wewe umeona?Ku cheat in what sense......?
Tom & Jerry Teh teh tehh..:laugh: :laugh:
Mnaongeza burudani hapa JF :laugh:
kumbe ni fashion siku hizi eti?na mm naenda kucheat mchana huu....hahahahahaha
Hata wanaume ambao hawajawahi ku-cheat wapo kibao hapa JF
Kama hashycool, krolokwini, uporoto1, shossi, The Finest, Kimey, Asprin, Rev Masanilo, Askofu, BabaUbaya, VoR, Elia, RealMan na wengine kibao
Ila mimi nimewahi ku-cheat :A S wink: :heh: :heh: :heh:
kweli wanaleta burudani, sometimes they are not deliberating with what they they intend to deliver
Halafu wewe si ulini-cheatLabda uki sema kucheat kivipi? Inategemea huyo kaka yako anchukulia kucheat ni nini...
hata wanaume ambao hawajawahi ku-cheat wapo kibao hapa jf
kama hashycool, krolokwini, uporoto1, shossi, the finest, kimey, asprin, rev masanilo, askofu, babaubaya, vor, elia, realman na wengine kibao
ila mimi nimewahi ku-cheat :a s wink: :heh: :heh: :heh:
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata mara moja.
say it againmimi sijawahi kucheat kwa kweli.
Na sitegemei kucheat.
Kumbe unaweza kuwa na wawili permanent:laugh:hivi ku cheat si mpaka mtu uwe umejiwekea mmoja permanent???????
kama mtu unao wawil permanent kwani hapo inakuwa cheating si unakuwa unatimiza tu majukumu pande zote......mi sijui bana nijuzeni