Kucheat

Mh, ni ngumu mwenzangu kupata mwanamke wa namna hiyo ila humu ndani JF utadanganywaaaaaaaaaaaaa, mana humu ndani kuna madada wanajifanya ni angles
 
Mh, ni ngumu mwenzangu kupata mwanamke wa namna hiyo ila humu ndani JF utadanganywaaaaaaaaaaaaa, mana humu ndani kuna madada wanajifanya ni angles

Habari yako Not enough mama, mzima wewe?
 
kama hivyo ni bora tu huyo kaka yako angespecify kuwa anataka mwanamke bikra kwani huyo peke yake ndiyo hajawahi ku cheet na pia wewe kama dada yake unge muelimisha kuwa swala la ubikra limekwisha pitwa na wakati hivyo sasa hivi tu nacho angalia ni mapenzi ya dhati kati ya watu wa wili wanao pendana na kuaminiana na kuheshimiana napia kumbuka uzuri wa mwanamke ni tabia kaka siyo ku cheet wala kutowahi kucheet
 
Back
Top Bottom