Kucheat

naona wachangiaji weng hapo ni wazoef kwaswala la kucheat...bilakusahau nami ni mmjojawenu...
 
Hii ni ngumu sana kuthibitisha kwa namna yoyote ile.

Na kwa uzoefu wangu jinsia zote mbili hucheat na kuficha. Binadamu kwa asili tuko waongo na hii ndiyo hupelekea watu kucheat na kudanganya kuwa hawajawahi au hawawezi kufanya hiyo.

Siamini kabisa katika entire lifetime yako mtu usicheat hata mara moja.
 
Mi ku-cheat nimewahi kufanya sana tu, ila kwa nia ya kulinda uhusiano na kuondoa mizozo . . . lol
 
Mtoa mada inaonekana unamegwa sana wewe eeeh......yaani ushaona mademu wote wanacheat duh! Unajua this is very serious accusation?
 
Siku hizi wanawake na wanaume wote mi naona sawa sawa tu,huyu akienda huku huyu anakwenda kule,tatizo SIDA! jihadhari na SIDA!
 
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata mara moja.
Inategemea definition ya kucheat ni nini..., A akiwa na B wakaachana akakutana na C..., je bado atakuwa anamcheat B.., jibu ni hapana sababu alishamuacha yule wa mwanzo... labda kama unasema kaka yako anatafuta virgin,

Hata akipata mpenzi leo aliyeachika jana, huyo mpenzi atakuwa hamdanganyi sababu hana committment tena. Lakini mambo ya future wakishakuwa pamoja you can never tell
 
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata mara moja.

mimi hapa. Nitafute.
 
Nazjaz, kwani wewe ushacheat mara ngapi... kuwa mkweli!!!
 
La la la la la

Watu wanavyoogopa kusema aliwahi ku-cheat, utafikiri wameambiwa wataonganishwa ktk kesi ya dowans :laugh:

Kwa nini CPU unataka niseme nimewahi kucheat wakati sijacheat. Ok ngoja niseme kile unachotaka kusikia, Nimewahi kucheat.
 
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata mara moja.

.........sawa atampata na kumuoza kaka yako fine.Lakini kumbuka kuwa baada ya muda si mrefu naye hyo wifi yako ata cheat.Tujiulize je? kanini watu wana-cheat?
 
Back
Top Bottom