Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Kijana anapenda kusomea ICT mwakani kupitia mkondo wa Certificate na Diploma na baadae Degree. Nimegundua vyuo vinavyotoa ICT ni vingi sana. Vyuo vikuu vingi vina program za aina hiyo kupitia TCU na au NACTE. Kuna colleges nyingi zinatoa ICT chini ya NECTA.
Napata changamoto ya kuchagua chuo kitoacho elimu ya kutosha katika fani hii. Ada pia inapishana sana kutoka Tshs 600000 hadi Tshs 1750000 kwa mwaka.
Kwa wenye uzoefu ni vigezo vipi vya kuzingatia wakati wa kuchagua chuo cha ICT na ni vyuo gani mnavyo vifahamu ambavyo kijana akijiongeza atapata ujuzi mzuri. Natanguliza shukurani.