Kuchafuka

....wewe ni mavumbi, mavumbini utarudi, jasiri haachi asili, asili yako ni mavumbi kelele za nini....?
 
Nakushauri usitembee kwenye mavumbi.

nilijua mtu anakuchafua na anakwambia ulambe koni harafu umeze na maziwa

Mkuu jaribu kutembea umetawanya miguu!

nunua gari

Usipite kwenye vumbi...nunua kipando!

Acha kutembea kama bata ..... Namaanisha usiburuze miguu

tembea na toilet pepa

yote hayo ni majibu mbali mbali ya wadau wetu
 
We ni kabila gan maana kama ni mzaramo bhass hapo hakuna ushauri
 
Tembea na begi la nguo,viatu maji na sabuni..ukichafuka wee oga badili..nadhani nimetatua tatizo mpaka mwisho...
 

Nenda jeshini wakufundishe kutembea maana kule ndiyo nakosikia wanafundisha kutembea haraka na taratibu.
 
nlijuwa labda mdada ndo umevunja ungo so unashangaa kuchafuka ch..p.....kumbe vumbi?dah
 
nlijuwa labda mdada ndo umevunja ungo so unashangaa kuchafuka ch..p.....kumbe vumbi?dah
 
Nadhani ni wakati muafaka umefika uanze kutembelea makalio, achana na TZ 11
 
hivi mmemuelewa mwenzenu,kwa maana ametumia lugha ya kificho sana.mwenzenu anajitahidi asichafuke lakini ndani ya mwendo mfupi anakuwa kisha jaa mavumbi...anataka angalau mwendo uwe mrefu kidogo kisha mwishoni ndio vumbi lionekane sio mwanzo tu vumbi kibao
 
Inabidi utueleze vizuri, aina ya utembeaji wako. Kwani hilo vumbi linakutambua wewe tu? Kama unataka tukushauri vizuri itisha kongamano la wana jf, uonyeshe utembeaji wako na wanajf waone namna vumbi linavyorukia miguu na suruari zako, vinginevyo it's just imaginations!
 
Huyu indie mtaalamu lugha tunaemtaka hongera
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…