Mkuu jaribu kutembea umetawanya miguu!
nilijua mtu anakuchafua na anakwambia ulambe koni harafu umeze na maziwa
samahani nauliza tu,eti wewe ni mzenji
hahahahahahahhahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!! JF kweli mwisho wa mastress!!!! Swali lako limeniacha hoi!!!!!!!!!
samahani nauliza tu,eti wewe ni mzenji
haha mi kiswahili chake kiliniacha hoi eti 'kutawanya miguu'!!
Mkuu mimi nimesema "kutawanya", sasa kama wewe "unapanua" shauri yako!!
Nakushauri usitembee kwenye mavumbi.
Tambua kuwa usmart una gharama zake. Nunua gari, kama uwezo kiduchu nunua hata bajaji tu.Habari Mabibi na Mabwana. Mu hali gani?
Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!