Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.

Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia[emoji23] mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!

Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.
Mwingine naye utaskia mara oooo bwaw... utazan anafgamsamaki[emoji2381]

JE HUU NI UUNGWANA?
Lá hasha huu si uungwana
 
Ushamba na kutokujua maisha. inasikitisha sana mnatoleana na siri za ndani. Kuna mwamba aliachana na dem alafu mm ndio nikawanae basi jamaa alikomba kila alichompa demu kisa wameachana yaani mambo ya ajabu kweli.

Kama unajijua unatabia hiyo bora usitoe vitu basi na mkiachana mpotezee maisha yaendelee
Huyo aliyekomba ni halali yke bhn mabaharia tunamuunga mkono, whenever you break up you have to release out everything engineer
 
Chakorii za siku, msukuma wako hajambo. Kuna eneo hapa nipo lina wasukuma tupu, yaani ni baiskeli na ng'ombe tu huku.
Nzuri kabisa habari yako….msukuma Yupo huko usukumani ninauhakika atakuwa anaendelea vizuri 😁😁sijui keshaoa yule jamaa🤪…


Umesahau na kula miwa barabarani huku wanatembea🤣🤣wasukuma bhana
 
Anipha wa JF, popote ulipo Mungu akuzidishie maisha marefu , tulipoachana ulienda kuwaambia rafiki zako eti sijui mapenzi maana wakati wa kumwaga natetemeka kama jenereta la mjerumani [emoji3]

Sasa hivi niko poa nishajifunza jinsi ya kumwaga kistaarabu bila kutetemeka ukinihitaji nipo free tu .[emoji39]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Huyo aliyekomba ni halali yke bhn mabaharia tunamuunga mkono, whenever you break up you have to release out everything engineer
Ubaharia wa kishamba sana alafu ni pigo za umaskini kama umeamua kutoa we toa mkiachana fanya zawadi hakuna haja ya kudai mali zako ukionaje basi usiwe unatoa.
 
Nzuri kabisa habari yako….msukuma Yupo huko usukumani ninauhakika atakuwa anaendelea vizuri 😁😁sijui keshaoa yule jamaa🤪…


Umesahau na kula miwa barabarani huku wanatembea🤣🤣wasukuma bhana
Mi nilifikiri kakuoa, ungemchukua huyo maana ndo alikuwa anakupatia chumbani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaga kuachana kwa wema jirani
Kwa hiyo mimi na were ndio tumeachana sio?[emoji14][emoji14][emoji14][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Yaani mimi ili tuachane lazima uwe umenizingua ndio tunaachana. Na usitegemee unikere hadi nifikie kukuacha halafu nikuache kistaarabu[emoji23][emoji23][emoji23]utajuta kudate na mimi.
[emoji23]
 
Back
Top Bottom