YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
au sio, na wewe kama ulikua na bwanga nitasema[emoji2]
mkuki kwa nguruwe sio....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kikubwa hakuna kuachana kwa amani, piga nikupige hiyo inaitwa
au sio, na wewe kama ulikua na bwanga nitasema[emoji2]
mkuki kwa nguruwe sio....
Inabidi achague tu moja kati ya kubaki au kudhalilika😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaga kuachana kwa wema jirani
Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.
Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia[emoji23] mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!
Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.
JE HUU NI UUNGWANA?
Inabidi achague tu moja kati ya kubaki au kudhalilika[emoji23][emoji23][emoji23]
jirani utashindwa kurudiana nae😂😂, au ndo upashagi matapishiUamuzi ni wake ila mimi kuachana kibubu sitaki lazima nikuchefue hata ukiniona ubadilishe njia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwez ukawa unafurahi kiboya boya mimi nakutazama tyuu
Wengi huwa wanajua upendo/mapenzi yapo kwenye vitu anavyompa....Ushamba na kutokujua maisha. inasikitisha sana mnatoleana na siri za ndani. Kuna mwamba aliachana na dem alafu mm ndio nikawanae basi jamaa alikomba kila alichompa demu kisa wameachana yaani mambo ya ajabu kweli.
Kama unajijua unatabia hiyo bora usitoe vitu basi na mkiachana mpotezee maisha yaendelee
Kuna raha yake kuachana kwa kivumbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunaga kuachana kwa wema jirani
jirani utashindwa kurudiana nae[emoji23][emoji23], au ndo upashagi matapishi
Sawasawa 😂🙌Viporo vinalevya na kuleta kiribatumbo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna raha kuachana kwa kivumbi
Kuna raha yake kuachana kwa kivumbi
Kweli kabisaWengi huwa wanajua upendo/mapenzi yapo kwenye vitu anavyompa....
Upendo ukiisha anachukua vitu vyake[emoji3]
Mungu ni mwema.,vipi leo simba day umepata chaiMimi nipo daktari wangu 🤗...niambie za masiku😊
Nipo zangu tu home hapa nimetulia...sina vibe 😃😃Mungu ni mwema.,vipi leo simba day umepata chai
kisimbuzi umelipia lakiniNipo zangu tu home hapa nimetulia...sina vibe 😃😃
Kuna dada alishawahi niambia kuwa ili amkwaze mwanaume akiona hawaelewani atakutangaza kuwa wewe ni kibamiaImezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.
Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia[emoji23] mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!
Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.
JE HUU NI UUNGWANA?
we umekamilika huna chakutukaniwa, ukiambiwa una bwawa la maji, utajisikiajeUamuzi ni wake ila mimi kuachana kibubu sitaki lazima nikuchefue hata ukiniona ubadilishe njia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwez ukawa unafurahi kiboya boya mimi nakutazama tyuu