Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

Yaani mimi ili tuachane lazima uwe umenizingua ndio tunaachana. Na usitegemee unikere hadi nifikie kukuacha halafu nikuache kistaarabu[emoji23][emoji23][emoji23]utajuta kudate na mimi.
Kuna mmoja nimeachana nae kimya kimya bila taarifa…ghafla bin vuu nakutakana nae Niko na mpenzi mpya🤓🤓hata kabla hajaanza ohoo sijui nini 😁ghafla sana nikamlisha utambulisho mzito Kwa new babè🤪🤪kiranga kwisha habari yake.

Kuachana kiukomavu hakuna makelele kama ya waimba singeli..

Kimya kimya njoo mbezi Kwa kinamima🎶🎶yani chwwaaa😀
 
we umekamilika huna chakutukaniwa, ukiambiwa una bwawa la maji, utajisikiaje

Si ndio vizuri ugomvi unakuwa mtamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akisema nina bwawa sikasiriki sababu yeye si kambale sasa unazani bila bwawa ataogelea veeepee?!!

Raha kuachana kwa kugombana wewe asikwambie mtu

Siku ikitokea mnapasha viporo kila mtu atataka kumuonyesha mwenzie kwann ulinitoa kasoro [emoji2222][emoji2222]
 
Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.

Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia[emoji23] mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!

Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.

JE HUU NI UUNGWANA?
Mkuu pole sana imekutokea nini? There's dust from congo.
 
Si ndio vizuri ugomvi unakuwa mtamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akisema nina bwawa sikasiriki sababu yeye si kambale sasa unazani bila bwawa ataogelea veeepee?!!

Raha kuachana kwa kugombana wewe asikwambie mtu

Siku ikitokea mnapasha viporo kila mtu atataka kumuonyesha mwenzie kwann ulinitoa kasoro [emoji2222][emoji2222]
sawa bwana, si rahisi kushindana na mwanamke
 
Kuna mmoja nimeachana nae kimya kimya bila taarifa…ghafla bin vuu nakutakana nae Niko na mpenzi mpya[emoji851][emoji851]hata kabla hajaanza ohoo sijui nini [emoji16]ghafla sana nikamlisha utambulisho mzito Kwa new babè[emoji2957][emoji2957]kiranga kwisha habari yake.

Kuachana kiukomavu hakuna makelele kama ya waimba singeli..

Kimya kimya njoo mbezi Kwa kinamima[emoji445][emoji445]yani chwwaaa[emoji3]

Hahahhaha wakati huo yeye hajui kama umemuacha. Anabaki kujua wewe ni babe wake ghafla anakukuta na wewe upo na babe wako.
 
Mademu wenye shape wanajiamini sana,huyu wangu alipitiliza na ubabe juu. Huyu demu aliniacha akaenda kwa ex-wake tena kwa dharau,baada ya miezi kama mitano.

Akarudi akataka turudiane ,nikamkatalia. Akaniambia atakuja home kunirudishia zawadi zangu zote kwani zinamfanya anikumbuke,nikawambia baki nazo.

Vurugu zikawa nyingi, baada ya kuona sina time nae akaniambia atakuja home kunifanyia fujo,nikaona analeta dharau nikamwambia ,sijawahi kupiga dem,ila nikamwambia na msuburi kwa hamu, maana nilikuwa na msubiria ni mnyooshe.
 
Mademu wenye shape wanajiamini sana,huyu wangu alipitiliza na ubabe juu. Huyu demu aliniacha akaenda kwa ex-wake tena kwa dharau,baada ya miezi kama mitano.

Akarudi turudiane ,nikamkatalia. Akaniambia atakuja home kunirudishia zawadi zangu zote,nikawambia baki nazo.

Vurugu zikawa nyingi, baada ya kuona sina time nae akaniambia atakuja home kunifanyia fujo,nikaona analeta dharau nikamwambia ,sijawahi kupiga dem,ila nikamwambia na msuburi kwa hamu, maana nilikuwa na msubiria ni mnyooshe.
😃😃😃 Alikuja?
 
Si ndio vizuri ugomvi unakuwa mtamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akisema nina bwawa sikasiriki sababu yeye si kambale sasa unazani bila bwawa ataogelea veeepee?!!

Raha kuachana kwa kugombana wewe asikwambie mtu

Siku ikitokea mnapasha viporo kila mtu atataka kumuonyesha mwenzie kwann ulinitoa kasoro [emoji2222][emoji2222]
Siku ikitokea mnapasha viporo kila mtu atataka kumuonyesha mwenzie kwann ulinitoa kasoro😂
 
Back
Top Bottom