- Thread starter
- #121
[emoji23]Yaani mimi ili tuachane lazima uwe umenizingua ndio tunaachana. Na usitegemee unikere hadi nifikie kukuacha halafu nikuache kistaarabu[emoji23][emoji23][emoji23]utajuta kudate na mimi.
[emoji23]Yaani mimi ili tuachane lazima uwe umenizingua ndio tunaachana. Na usitegemee unikere hadi nifikie kukuacha halafu nikuache kistaarabu[emoji23][emoji23][emoji23]utajuta kudate na mimi.
Da[emoji23][emoji847]Si Ungwana hii inasababishwa na mtu kushindwa ku control hisia au kukubaliana na matokeo .
Binafsi nashangaa kuna dada mmoja huku JF hakaukiwi kunitolea mapovu wakati now kila mtu ana maisha yake ., [emoji3061]
*Naelewa bado Ananipenda but ndo ishakua ivyo kama ana plan ya kuifanya tren irudi nyuma anipange Tu .
Du[emoji12]Maisha haya bahna zamani ndio natukana mpaka naishikwa na usingizi ila kuanzia majuzi ukienda nendraa
Mmmm 🧐Da[emoji23][emoji847]
Harmonize - Dear X [emoji28]Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.
Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia[emoji23] mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!
Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.
Mwingine naye utaskia mara oooo bwaw... utazan anafgamsamaki[emoji2381]
JE HUU NI UUNGWANA?
KabisaPale inapobidi kuachana, basi muachane kwa wema.
Daaaaaaaa[emoji23]Nilizushiwa sijatahiriwa
Kweli kabisaDaaaaaaaa[emoji23]