Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

😀😀😀vijana mna mambo sana!!
 
Hahahhaha wakati huo yeye hajui kama umemuacha. Anabaki kujua wewe ni babe wake ghafla anakukuta na wewe upo na babe wako.
Ninachoamini hakuna mwanamke/mwanaume buzy Kwa mpenzi wake ampendae…
Mara nakupigia simu hupokei na ukipokea unaniambia utanipigia na hupigi😀yanini nianze kupalangana na wakati alishanionesha red light.muda wa kupiga kelele hakuna unaondoka kimya kimya na kama na maumivu unayaugulia kimya kimya unamove on.anakuja kustuka unamtambulisha tu🤣🤣kupeana vijembe ni upuuzi wa kitoto.

Haya ni maisha jamani hakuna haja ya kujaza kijiji.
 
Si Ungwana hii inasababishwa na mtu kushindwa ku control hisia au kukubaliana na matokeo .

Binafsi nashangaa kuna dada mmoja huku JF hakaukiwi kunitolea mapovu wakati now kila mtu ana maisha yake ., 🥴

*Naelewa bado Ananipenda but ndo ishakua ivyo kama ana plan ya kuifanya tren irudi nyuma anipange Tu .
 
Mademu wenye shape wanajiamini sana,huyu wangu alipitiliza na ubabe juu. Huyu demu aliniacha akaenda kwa ex-wake tena kwa dharau,baada ya miezi kama mitano.

Akarudi akataka turudiane ,nikamkatalia. Akaniambia atakuja home kunirudishia zawadi zangu zote kwani zinamfanya anikumbuke,nikawambia baki nazo.

Vurugu zikawa nyingi, baada ya kuona sina time nae akaniambia atakuja home kunifanyia fujo,nikaona analeta dharau nikamwambia ,sijawahi kupiga dem,ila nikamwambia na msuburi kwa hamu, maana nilikuwa na msubiria ni mnyooshe.
Mwisho siku ilikuwaje aiseeee

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Imezuka tabia ya wadau walio Katika mahusiano kuchafuana baada ya kuachana.

Unakuta watu waliishi vizuri tu inapotokea wametofautiana wakaachana unaanza kuskia mara oooo! kwanza alikuwa analima bamia[emoji23] mara ooooh mpira wake haujawahi fika kwa kipa,ooooh ki.........chali!

Cha kushangaza baada ya muda utaskia anataka usuluhishi warudiane.
Mwingine naye utaskia mara oooo bwaw... utazan anafgamsamaki[emoji2381]

JE HUU NI UUNGWANA?

Ukiona hivyo basi wanapendana bado.
 
Back
Top Bottom