Mkuu magoli.Balantanda.
Utakuwa kama wafuasi wa Kibwetele wa Uganda.Waliomsubiri sana yesu wakiamini atakuja na mwisho wakaamua kujichoma wenyewe.
Hiyo taarifa imepikwa kila sehemu na hana cha kujitetea.
Mwandishi makini ni yule anaye balance uandishi wa habari zake .Mwakalinga tunaye hapa muda wote na ni mmoja kati ya wana jf wa kwanza.Alishindwaje kumuuliza kabla ya kuitoa hewani?..
mkuu fmes,
kwanza niombe msamaha maana nilimsahau mdogo wangu steved katika watu waliosaidia kuokoa jahazi kutoka midomoni mwa mamba wakati mimi nilipokuwa likizo huko tanzania.
Sikonge ndio simsemi maana tumetoka mbali wote. Itabidi akishapata uzoefu wa kyela basi 2015 tuwe wote kule sikonge tukimuuza kwa wapiga kura. Tunataka watu ambao unaweza kuwaangalia machoni na ukasema unachoniambia ni sahihi kwa asilimia angalau 99. Tumechoshwa na watu ambao wanadanganya karibu kila kitu.
Nilikuwa naweza kujitokeza moja kwa moja kama mwakalinga lakini nimeamua nitumie majina yote mawili ili mtu aweze kurudi nyuma na kuangalia kama kuna inconsistence yoyote katika hoja zangu tokea enzi za mtanzania kule business times mpaka leo hapa jf.
Wengine wanaotaka kugombea kyela wanakaribishwa mno maana hiyo ndiyo demokrasia ambayo tunaiongelea siku zote; wananchi wapate nafasi ya kuchambua pumba na mchele.
Mwisho, kwa habari nilizo nazo mimi kwa asilimia zaidi ya 99 ni kwamba mwakipesile hagombei ubunge kyela mwakani. Nimeambiwa hata yeye ameshutushwa mno na hizi habari za kubenea. Wacha tumwachie mwakipesile mwenyewe ajibu.
Mimi nimeongelea ya kwangu tu lakini kwa habari ambazo nazijua kuhusu mwakipesile, hunter na mwanjala, hata huko mkuu kubenea ameboronga mengi tu, amewapaka hao wana kyela wengine bila sababu za msingi. Kwa sasa nitaacha kila mtu ajiokoe mwenyewe.
mimi nilikutetea kiasi cha kufungiwa wiki moja hata pole hukunipa.
Sikonge,Mwakalinga, tuombe uzima. Mwakani naweza kuwa Kyela kwa ajili ya kampeni ingawa ntakuwa kwenye majukumu mengine. Vinginevyo ntajitahidi hatimaye NIFIKE KYELA kwa mara ya kwanza maana kuna wengine wanadhani mie ni wa KYELA. Huwa nikiwapigia simu au PM ninawapa majina ya watu na miji ya SAIKONG ndiyo wanaamini. Itabidi nifike Kyela ili nivifahamu hivyo vijiji ambavyo huwa navisikia. Hatimaye itakuwa ni sehemu ya kuifahamu nchi yangu Tanzania na hasa Mkoa wa Mbeya maana ulikuwa Mkoa wangu wa kwanza kuishi hapo miaka hiyoo dada yangu akianza kazi Mbeya.
Mtake au msitake tutampigia Mwakyembe kura na atakuwa mbunge wetu kwa mara nyingine,wana Kyela hatutaki kushinikizwa na mamluki,historia itajirudia na mnaopiga porojo hapa za akina Mwakipesile naona hamuwajui vizuri watu wa Kyela nahisi nyie ni wakuja,mnahadithiwa tu ,mambo ya Kyela hayajadiliwi London au Loliondo
Malafyale,
...
Hayo ya tindikali; katika haya mapambano sitaanzisha vita na mtu yeyote, ila kama mtu kaanzisha vita ni ruksa na mimi kujibu. Watu wengine ni wapuuzi na ndio maana wanamwagiwa acid, narudia kwa mara nyingine. Hata USA walitumia nuclear kujibu mashambuliza ya Wajapani na wajomba zao Wajerumani katika vita kuu ya pili.
Naona pesa za Lowassa sasa zinataka kutumika kununua nuclear.
Masikini Kubenea, sijui kama utapona. Fikiria watu kama Mwakalinga ndio wanaitwa kizazi cha kesho cha viongozi Tanzania! wanatishia kumwaga acid na kutumia tindikali?
Kazi kweli kweli
Naona pesa za Lowassa sasa zinataka kutumika kununua nuclear.
Masikini Kubenea, sijui kama utapona. Fikiria watu kama Mwakalinga ndio wanaitwa kizazi cha kesho cha viongozi Tanzania! wanatishia kumwaga acid na kutumia tindikali?
Kazi kweli kweli
😀Sasa huko nyuma ulivyokuwa unabwata kwamba George Mwakalinga sio Mtanzania, ulituona sisi wapumbavu? Hatuko hapa kutafuta nani ni nani, but it was tempting to show that relationship, kwa jinsi ulivyoji-expose mwenyewe.
Baada ya ubabaishaji wote huo, unaamini kwamba wewe unaweza kuwa kiongozi wa kuaminiwa? Utakuwa sawa na akina Nchimbi tu.
Mtake au msitake tutampigia Mwakyembe kura na atakuwa mbunge wetu kwa mara nyingine,wana Kyela hatutaki kushinikizwa na mamluki,historia itajirudia na mnaopiga porojo hapa za akina Mwakipesile naona hamuwajui vizuri watu wa Kyela nahisi nyie ni wakuja,mnahadithiwa tu ,mambo ya Kyela hayajadiliwi London au Loliondo
😀
sijui kwa kiwango gani unamjua nchimbi mpaka kusema kwamba ni kipimo chako cha ubabaishaji kwenye uongozi............amekuwa mwenyekiti wa vijana,dc,mbunge na naibu waziri............kwko umeona ni mbabaishaji sawa lakini anayo ridhaa ya wananchi kuwawakilisha na sasa mmeanza kuandika kuwa ataanguka uchaguzi..............time will tell kwa wewe mwelevu kuongoza walau kata
..............Watu wengine ni wapuuzi na ndio maana wanamwagiwa acid, narudia kwa mara nyingine. Hata USA walitumia nuclear kujibu mashambuliza ya Wajapani na wajomba zao Wajerumani katika vita kuu ya pili.
.............ningelipewa MADARAKA basi usingeliamini kuwa ni huyu Sikonge unamfahamu.
.................Wakati mwingine kwa WAPUUZI kama Kubenea, ningelikuwa Rais basi si ACID tu ila ntafanya kibaya zaidi. ........... lazima afahamu kuwa ACID ni cha mtoto...........
................liomdanganya Rais wanatakiwa wamwagiwe kitu kibaya zaidi ya Acid............
........Tutamlima kwa kila upuuzi wake na hatapata huruma tena. Kama alimess up na mke wa mtu zamani basi afahamu kuwa kama kama mwanasiasa sasa yeye ni CHAKULA YETU.
natamani JF ingekua mahakama..........hah! hah! hah!
Ulitaka kuongea nini? Kama wataka kushangaa basi kashangae Bandarini, Shilingi inazama na hili dude linaelea....
Mwisho lazima ufahamu kuwa kuna tofauti kati ya RAIS na KIONGOZI WA DINI. Kama unashangaa Mwanajeshi kufundishwa kuuwa basi pole sana.
Kuna MSEMO wa Kichina unasema hivi "Jasho jingi wakati wa mazoezi, damu kidogo wakati wa vita". Dunia hii huwezi kuepuka kumwaga damu, magereza, POLISI, jeshi nk. Vinginevyo wananchi watakudia vidole vya machoni hadi wewe Rais. Ukiamua kuwa mwana Siasa basi lazima ufahamu kuwa siku moja itabidi ufanye uamuzi wa KIKATILI. Ikibidi kuuwa asilimia 10 ili uokoe 90 basi usisite kufanya hivyo. Ndiyo maana unachaguliwa kuwa RAIS na UNAAPA kuilinda KATIBA ya Tanzania. Yes, unaapa KUILINDA KATIBA.
yaani wewe umeona kuhalalisha UHALIFU ndio kupigana vita ili kuokoa 90%........ hiyo logic unaitoa wapi?......."Sikonge/Kyela"?...........then hutakuwa tofauti na Kubenea anayeadaiwa kusema uongo ........
Mijitu mijinga na yenye wivu wa kike utaijua tu. Hata matumizi ya lugha hawaijui. Wapi Mwakalinga ametishia yeye kumwaga acid au kutumia nuclear? Unaweza kusema Mwakalinga amehalalisha kitendo cha waliomwagia tindikali Kubenea lakini hiyo sio sawa na kusema Mwakalinga yeye anatakishia kumwaga acid au kutumia nuclear.
Tatizo la Mitanzania mingine ni ujinga uliojaa kichwani. Ni sawa na wale waliosema Nyerere amewaambia wao ni mbwa baada ya kutumia maneno "I can't allow my country to go to the dogs" akimaanisha Mrema na NCCR mwaka 1995.
Solomon soma kaka, vinginevyo utaishia kuwa mjinga wewe pamoja na mitoto yako. Kama huelewi misemo ni bora uulize!
Utaishia tu na vijembe vya JF vya pesa za Lowassa lakini unafikiri hilo litamnyima hata usingizi Mwakalinga? Kama unafikiri principal Engineer wa makampuni makubwa kama Lucent na Huawei ataenda kumpigia magoti Lowassa, you must be sick! Kweli unahitaji msaada wa kwenda Mirembe.