Kubenea Na Mwanahalisi Waombe Radhi

Wakati Rais akipigia kelele uhuru wa vyombo vya habari na maadili yake yafanye kazi kwa haki na upendo , kuna baadhi ya waandishi na wamiliki wa hivi vyombo vya habari viko mstari wa mbele katika kuhakikisha maadili hayafuatwi na hakuna uhuru wowote ule wanataka waendelee kudangana umma wa watanzania kwa kutumia vyombo hivyo wanavyoandikia au kuvimiliki .

Kwa njia hiyo hakuna atakaye kaa kimya kungoja mpaka hawa waandishi na wamiliki wa vyombo hivi waendelee kuonea wananchi kwa kutumia taaluma au vyombo vyao hivi vyombo hivi na waandishi hawa wakemewe na ikiwezekanwa wafungiwe au kunyanyanywa leseni zao za kazi hizi .

Ni wiki mbili sasa baada ya mimi binafsi kuanza kumtafuta Suedi Kubenea niweze kufanya nae mahojiano pamoja na kutengeneza kipindi maalumu kwa ajili ya mambo mbali mbali anayoandika katika gazeti lake la mwanahalisi .

Nimemtafuta kwa njia ya simu , hiyo simu muda mwingi inaita tu haipokelewi kama ikipokelewa basi utasikia niko busy au katoka nashangaa jamani hivi mwanahabari anakuwaga busy asiweze kupokea simu zingine ? au ndio jeuri na nyodo zenyewe hizi ?

Kwa kuwa nimemtafuta kwa muda mrefu ili aweze kuelezea baadhi ya mambo anayoandika katika magazeti yake na sisi tutengeneze makala kwa ajili ya wasomaji wengine kwa njia ya mtandao na kumkosa .

Naamini moja kwa moja sasa Kubenea pamoja na gazeti lake la mwahalisi na Mseto wamekuwa wanacheza michezo ya kuigiza kwa muda mrefu sasa , umma wa watanzania inabidi iwaangalie kwa macho mengi zaidi kuliko yale yaliyokuwa yanawaangalia hapo mwanzo .

Huwa nashangaa anajiamini nini kuandika vitu vya uzushi katika magazeti yake kisha anashindwa kuja mbele ya jamii husika kuelezea au hata pale anapopigiwa simu hataki kujibu kitu anakata au anasema ana kazi nyingi ?

Kwa maana hiyo tukubali Sued Kubenea wafanyakazi wa mwanahalisi pamoja wengine wote anaoshirikiana nao kwa njia mbali mbali ni waongo na wazushi wanachonganisha watu kwa masilahi yao wao wenyewe .

Taarifa iliyotolewa na kampuni ya IMMA and Advocates inadhibitisha hilo kwa zaidi ya asilimia moja nategemea IMMA and advocates watafikisha suala hili katika vyombo husika ili sheria ichukuwe mkondo wake .

Mwisho kabisa napenda kumwomba Kubenea , gazeti la mwanahalisi , mseto waandishi wa magazeti hayo pamoja na wale wote anaoshirikiana nao katika kueneza chuki na uwongo katika jamii ya watanzania iliyojaa amani na upendo toka uhuru wake waombe radhi ya yale waliyoyafanya na wanayotarajia kufanya katika magazeti yao au vyombo vingine wanavyoshirikiana navyo mara moja watakaposoma ujumbe huu .

La sivyo suala hili lifikishwe mbele ya vyombo vya sheria ili waitwe kuja kudhibitisha madai yao waliyoandika katika magazeti yao pamoja na yale wanayoshirikiana nao ili ummah watanzania wapate kujua ukweli .
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Check Join date na ulinganishe na THANKS alizozitoa kwa wanaJF wenzake.............. Haiwezekani wewe katika mabandiko yoooteee ya JF hakuna hata moja uliloliona kuwa ni la maana tangu ujiune............ KAMA UMESHINDWA KUONA VITU VYA MAANA VINAVYOSEMWA HAPA JF, utaona la kubenea ....................... ????!!!!
Join Date: Thu Nov 2006, Posts: 4,549, Thanks: 0; Thanked: 306 Times in 168 Posts, Rep Power: 33

 
I guess, there is something wrong in your mind...how dare and were do you get this crazy confidence and gut to write this nonsense so called post to clever, understanding and educated people in JF? Do u want to assure us that you are a puppet of the so call "Mafidadi" shame upon you poor Tanzanian (i doubt about your nationality), were you born in a darkness? and your still in Dark? a person who can be bribed for few coins a penny of money to write nonsense.......!!!! What is the agenda by the way...what accusation are you trying to explain here...they are not even understood......Go to hell guy..................................MY ADVISE TO JF Host, you should filter some of these post which in reality doesn't bring any valuable thing or has no contribution towards our development.
 
Kiukweli nilikuwa namuona huyu jamaa kama mtu wa maana ila sasa hana tofauti na makapi. Na aibu yako iwe anguko lako
 
Duh mwaka huu kweli tutaona mengi! Yani Kubenea hakupokea simu yako basi yote anayoandika ni uzushi!! Go get yourself straight and come back again bro.That was too shallow.
 
Back
Top Bottom