Kubenea muombe radhi Makonda

Kuhusu hoja ya Kubenea kumwomba radhi Makonda baada ya kutokea kwene gazeti la Kubenea akimfunga viatu Riz1 haina Mashiko.

Kama habari hiyo ni ya uongo basi Makonda na Riz1 wawahi Mahakamani gazeti la Kubenea lishtakiwe kwa kuandika habari za
uongo!
Lakini nijuavyo hii habari ni ya kweli.Siku hizi kuna teknolojia za Smartphone hivo picha kama hizo zinachukuliwa saa yoyote mahali promote.Kwa vile watu aina ya Makonda wenye kujikomba na kujipendekeza ili wapewe vyeo siwezi kushangaa!
 
Kwa hiyo Ile picha ni ya ukweli!
 
Kwa hiyo aombe radhi ionekane kwamba ukuu wa wilaya wa Makonda ulitokea karibu....?
 
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...

endeleeni kuisoma namba maana mlimchagua kwa ushabiki
 
Bavicha mna kazi
 

Makonda ndiyo anatakiwa amuombe radhi kubenea
 

Ubungo wana hasara. Mbunge mzushi na mpenda fitna na majungu ndio maana kwao walimkataa akakimbilia ubungo.
 

makonda hana tofauti na watoto wa mtaani chokoraa aliyeokota pochi ya mzungu,yule hata kijiji hana sifa ya kukiongoza sembuse wilaya,nchi hi haiwezi kuwa na maendeleo kwa akili za mtoa mada mlamba makamasi ya makonda na makonda mfunga viatu vya rizwani
 
Wenye makontena watuombe radhi watanzania kwa kutusababishia umasikini na Mkwere wao.Kubenea yuko sahihi.mbona Makonda hajamuomba radhi Warioba?pumba kabisa wewe mtoa mada.Punguani mkubwa.
 

Pangua ya wakuu wa wilaya haimwachi.
 
Sijaelewa, kwa hiyo ile picha ilitengenezwa ina maana sio ya kweli??!

Kinachokanushwa ni picha au kuvalishwa viatu?

Aliyekuwa akimvalisha viatu Ridhiwani sio Makonda kama picha zilivyoelezea ktk gazeti fulani.
Yamekanushwa na Rizmoko.
 

Tumia akili na Macho yako
Usiwe Mtumwa na mtu wa kushikiwa akili.
Je unamfahamu Makonda ?
Je ile Picha ni yeye ama sio Yeye ?
Je ile Nyingine kambeba Mokorizi ni yeye ama sio yeye ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…