Ikiwa wenye dhambi tu wakitubu tena hata mmoja tu inakua sherehe mbinguni vipi shetani atapoamua kuwa miongoni mwa waliotubu huko mbinguni kutakuwaje?Hata mkileta maelezo marefu vipi, Lowassa bado sio mtu sahihi kuwepo cdm. Anaweza kurudi tu ccm na kutoa huo ushauri wake mzuri akiwa huko. Ama anaweza kwenda hata TLP na kuongeza nguvu huko na hizo siasa zake. Watavuna watu wengi tu tunaombiwa walimpa kura mpaka cdm ikapata wabunge wengi.
Kubenea yupo sahihi. Siasa za kiharakati za akina Lema kwa karne hii hazisaidiiKubenea kaamua kuchagua kuwa Upande wa kumuunga Mkono Lowassa dhidi ya Mentor wale Mbowe
Msimamo wa Kubenea unategema uwezo na ujasiri wako wa kumuhonga
Saed Kubenea
Lowassa amekutana na Magufuli, kipindi ambacho chama chake kiko kwenye mkwamo. Hakiwezi kufanya mkutano wa hadhara.
Kimefika mbali zaidi; sasa hata uchaguzi mdogo hakiwezi kushiriki.
Baadhi ya viongozi wakuu chama badala ya kuwaongoza wanachama, nao wamegeuka kuwa walalamishi.
Ni kwa sababu, Chadema ya mwaka 2010 hadi 2014 ya maandamano na mikutano haipo tena.
Katika muktadha huo, njia pekee ya kutoka hapa tulipo ni kujadiliana adui yako. Lowassa amefungua njia hiyo. Ni vema ikatumiwa.
Mwisho
Kubenea yupo sahihi. Siasa za kiharakati za akina Lema kwa karne hii hazisaidii
Makamanda mnahaha. Mbowe hathubutu kumfukuza Lowasa kamwe.Hilo halina shida maana hakuianzisha cdm yeye bali aliikuta tena ikiwa kwenye hali nzuri ile mbaya. Lakini baada ya yeye kuingia hapo ndio chama kikaanza kuingia nuksi. Aonyeshe kiwango cha mauziano aliyofanya tena kwa EFD receipt na terms za hiyo biashara, wanachama na sisi washabiki tuonyeshwe. Kisha tutaamua tulipe kulingana na faida aliyoingiza huku tukipima madhara aliyoiletea cdm. Ila kama alifanya biashara ya kitapeli itabidi aondoke na waliopeana naye hizo hela. Una lingine?
Unaweza kuweka hata ushahidi wa kizushi ?Kubenea ni takataka tu chadema ni ya lowasa alinunua pesa nyingi
Lowasa kamwambia Magufuli "you have made my day", au hukusikia?Jana pogba kalala usingizi alioumiss kwa miaka zaidi ya miwili
Kwa upande wa Lowassa Gambo anajua, Na Mrisho Gambo ameeleza kuwa Lowassa ana shida zake nyingi, hivyo ameomba kukutana na rais.Maalim alikutana na Karume kimya kimya na bila kushirikisha wenzake kwenye chama
Kupishana mawazo na kutofautiana na msimamo wa mwenyekiti hii ndio demokrasia tunsyoitaka.Kubenea yupo sahihi. Siasa za kiharakati za akina Lema kwa karne hii hazisaidii
Ikiwa wenye dhambi tu wakitubu tena hata mmoja tu inakua sherehe mbinguni vipi shetani atapoamua kuwa miongoni mwa waliotubu huko mbinguni kutakuwaje?
Hii falsafa inatufundisha nini? Mfumo wa vyama vingi umeanza juzi kiasi ambacho wengi wa wapinzani walikua CCM msipende kuhukumu ilhali nanyi mna dhambi!! Kama mbinguni hata wenye dhambi watubuo hufanyika sherehe vipi huko CDM? Vipi habari za akina sauli kuwa wainjilisti?
Hii hoja yako inasikitisha!!!
Makamanda mnahaha. Mbowe hathubutu kumfukuza Lowasa kamwe.
Lowasa kaenda kwa ajili ya maslahi yake binafsi. Hutu kubenea ni mpuuzi na mpika story.Kwahiyo unadhani Lowasa kaenda kuongea na Magufuli kuhusu Serikali ya Kitaifa au Magufuli aruhusu siasa shindani za kukosoana?
Hahaha.... Poor you.
Dah....na ujiandae vizuri....wako wengi wa aina yakeNaanza ku doubt uwezo wa kufikiri wa Kubenea!

Waambie ukweli wanaleta maslahi binafsi kwenye mambo ya hatima ya Tz yetuAlafu watu wa ulipo tupo ikiwemo wewe mleta mada hatuwataki chadema