Hakika mkuu.Kupishana mawazo na kutofautiana na msimamo wa mwenyekiti hii ndio demokrasia tunsyoitaka.
Hatutaki akili za kiccm wote muwe kama treni kinapoelekea kichwa mabehewa yote yanafuata.
Ccm hakuna mwenye jeuri wala uthubutu wa kutofautiana na mwenyekiti wao, hawa ni wafu.
Hii ndio demokraia tunayoitaka watu kutofautiana mawazo na mitazamo. Siyo one size fit all.
Hivi si aende hata "SAU" huko..Hata mkileta maelezo marefu vipi, Lowassa bado sio mtu sahihi kuwepo cdm. Anaweza kurudi tu ccm na kutoa huo ushauri wake mzuri akiwa huko. Ama anaweza kwenda hata TLP na kuongeza nguvu huko na hizo siasa zake. Watavuna watu wengi tu tunaombiwa walimpa kura mpaka cdm ikapata wabunge wengi.
Unataka kuwasukumia TLP mzigo basda ya nyie kuingizwa mkenge eti EL abakuja na mtaji wa wabunge 100, RC 4 Dc 20 etc?Hata mkileta maelezo marefu vipi, Lowassa bado sio mtu sahihi kuwepo cdm. Anaweza kurudi tu ccm na kutoa huo ushauri wake mzuri akiwa huko. Ama anaweza kwenda hata TLP na kuongeza nguvu huko na hizo siasa zake. Watavuna watu wengi tu tunaombiwa walimpa kura mpaka cdm ikapata wabunge wengi.
Huyu mleta mada na kubenea wake ni wapuuzi. Wanatuona sisi viazi nnThe remaining part of the story sina interest nayo, mi naangazia hayo maneno yenye rangi nyekundu
Sitaki kuamini kuwa CCM, Usalama wa taifa hadi Jakaya walikuwa hawajui
Kama ni kweli basi hiyo ni hatari kubwa sana
Mkuu huwezi niumiza kwa chochote. Nimetoa tu mtazamo wangu. Siasa za sitaki nataka za CCM zisiwatoe kwenye reli.Pole kwani najua nilichosema kinakuumiza. Vumilia tu ndio demokrasia. Huyo niliyemjibu ni wale wanaopotosha kutaka kuonyesha cdm leo iko jinsi ilivyo kwa sababu ya Lowassa. Sasa ili kutaka kumuonyesha Lowassa ni wa kawaida sana nimemwambia Lowassa arudi ccm ili cdm ife. Halafu turudi kwenye uhalisia, Lowassa alitakiwa kuwa mwanachama wa kawaida na sio kuwa mgombea wa cdm wakati hakuwahi amekitumikia chama wala kujua itikadi yake. Nafasi nyeti kama ile ilipaswa kupewa mtu anayekifahamu chama kwa undani. Kibaya zaidi wakati ule wa kampeni alikuwa mgonjwa na hakuweza kufanya kampeni nchi nzima kwa ufanisi. Naomba univumilie sana kamanda mwenzangu, ukweli unaumiza na mimi nafahamu lakini nivumilie tu.
Nakuunga mkono tindo. Huyu EL ni wa kung'oa mzima mzima. Tuache uoga ..jamaa hafai upinzani. Aende zake.Hilo halina shida maana hakuianzisha cdm yeye bali aliikuta tena ikiwa kwenye hali nzuri ile mbaya. Lakini baada ya yeye kuingia hapo ndio chama kikaanza kuingia nuksi. Aonyeshe kiwango cha mauziano aliyofanya tena kwa EFD receipt na terms za hiyo biashara, wanachama na sisi washabiki tuonyeshwe. Kisha tutaamua tulipe kulingana na faida aliyoingiza huku tukipima madhara aliyoiletea cdm. Ila kama alifanya biashara ya kitapeli itabidi aondoke na waliopeana naye hizo hela. Una lingine?
Akusanye aondoke zake..Nashauri huyu mzee atupishe.
Kweli tupu umesema mkuu. EL hajielewi yupo kwa maslahi yake..Huyu mwandishi naye pumba tu, Hakuna mtu anayepinga Lowasa au yeyote ndani ya Chadema au Tanzania kuonana na Rais au Kinana au Polepole, bali kinachopingwa ni nini ulichozungumza, je kinamaslai ndani ya chama chako?
Tendo la Lowasa na JM ni sawa na mkeo kwenda kumsifia mgoni wako hadharani eti unajua kufanya wewe, na mgoni anamjibu mkeo na wewe unapofanywa unatulia kweli kweli sio kama mmeo kazi yake kunitukana tu.
Jamani huyo atakuwa mke kweli.
Angeenda kwa Rais na kuja kutuambia namna alivyomshauri kuhusu katiba mpya, demokrasia, uchumi, ajira, stahiki na promotion kwa watumishi , kilimo , haki sawa, utawala bora nk kweli angeeleweka
Utachoshwa mkuu na watu wenye uelewa mdogo, hana hoja nyingine zaidi ya hiyo, siku hawa viwavi jeshi wa lumumba wakiongea hoja najitoa jfHilo halina shida maana hakuianzisha cdm yeye bali aliikuta tena ikiwa kwenye hali nzuri ile mbaya. Lakini baada ya yeye kuingia hapo ndio chama kikaanza kuingia nuksi. Aonyeshe kiwango cha mauziano aliyofanya tena kwa EFD receipt na terms za hiyo biashara, wanachama na sisi washabiki tuonyeshwe. Kisha tutaamua tulipe kulingana na faida aliyoingiza huku tukipima madhara aliyoiletea cdm. Ila kama alifanya biashara ya kitapeli itabidi aondoke na waliopeana naye hizo hela. Una lingine?
Unataka kuwasukumia TLP mzigo basda ya nyie kuingizwa mkenge eti EL abakuja na mtaji wa wabunge 100, RC 4 Dc 20 etc?
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba Lowasa na Kubenea wana ukaribu wa miaka mingi hivyo inawezekana kabisa anachoongea kina baraka zake
Rudi kwenye makala za zamani za "mwanahalisi_". Kubenea ni kiazi na mchumia tumbo.Naanza ku doubt uwezo wa kufikiri wa Kubenea!